Wednesday, February 5, 2020

πŸƒπŸ‡MWANAMKE KUJIACHIAπŸƒ

*πŸƒπŸ‡MWANAMKE KUJIACHIAπŸƒ*
Narudia tena aibu ziachwe jmn kweny ndoa zetu mwanamk full kujiachia ndio manake, wengne mnaona haya Ata kugusa kidevu cha mumeo ndevu hazichezew eti mke anaona aibu kaaah jaman mbona mnazitia doa ndoa hamjui kama wanaume hulewesha kwa mawadda na hutulia kwenye ndoa mlijue ilo wanawake weka aibu kule mahabba weka mbele iyo ndo habari
*πŸƒπŸ‡MWANAMKE KUJIACHIAπŸƒ*
Aibu aibu peleka uko mtoto wa kike chakula pia Kula nae mumeo tena mliashane mana wadada wengne ni too much mpaka Kula na mumewe mtoto wa kike anaona aibu hebu koma shost some time mume anarudi kazini hutumwa mtoto akapokee jaman mume ana thaman yake na mtoto yake mpoo mana hapo mwanamke kisa mtoto na zile aibu zake amepata kisingizio mtoto hebu kuwa na adabu mwanamke na mumeo pia muangalie upo usimbanie macho muangalie vizur usimtizamie kwa chini kama ulofumaniwa muangalie bibi Yule ni wako muangalie unapotaka aibu za nin???
*πŸƒπŸ‡MWANAMKE KUJIACHIAπŸƒ*
Inafika wiki mwanamk hajaketi na mumewe kumliwaza wala kumfanyia masg, ewe MWANAMKE kwa namna hii unakaribisha michepuko wewe mwenyew hebu acha izo tabia usifanye usungo tena mumeo akiwepo kazini uwe una mliwaza umtakie kazi njema na mtumie sms nzur upoo apo lazima atakuwa na mood ya KUFANYA kaz kwa amani mwamke kujiachia aibu peleka uko haya muonee shemegi yako upo ila sio baby daddy wako una nin? ?shoga uone haya umeiba??
*πŸƒπŸ‡MWANAMKE KUJIACHIAπŸƒ*
Nawashangaa sana wengne hawakumbuki Ata sku walocheza na waume zao kisa anaona aibu mtoto wa kike Mwaname atavumilia mwisho atachoka kwa tabia hizi unachojua ww kupika na kupakuwa usiku ukasubiri tendo la ndoa tu hujuwi kucheza na mumeo hata kwenye tendo kachumbari huzikati upo upo kama gogo kisa aibu mtoto wa kike hemu acha izo tabia michepuko watakuibia halaf uje useme mume wangu hajatulia hajatulia au hukuweza kumtuliza ?changamka mwanamke!
*πŸƒπŸ‡MWANAMKE KUJIASHIAπŸƒ*
Nimalizie kwa kusema mwanamke jua kucheza na mumeo michezo mbali mbali kurushiana mito mkiwa chumbani, kupigana makiss bin madenda ya kila sehemu, kulishana chakula huku ukimtamanisha mumeo halafu huumpi mdomoni umpelekee puani huu ni mchezo,yaan mchezo mzur na si aibu huyo ni mumeo tena hali yako, mfanyie kila jambo linalostahili kufanyiwa, jamani wadada natumaini mmejifunza kitu leo, sasa muache kuona aibu kabisaaaaaaaaa.
πŸƒπŸ‡πŸ‡πŸƒ


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-kujiachia.html

No comments:

Post a Comment