Monday, February 3, 2020

Mwanamke! hivi unajua Mavazi yako ndiyo yanayoleta Mwanaume wa kuendana na wewe.

Ukivaa mavazi ya ajabu ajabu utavutia Wanaume wa kulala na wewe na kukuacha na si waoaji, utakuwa ni kiburudisho cha usiku mmoja na si mwanamke wa maisha.

Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneno,matendo na mavazi yake.

Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikilia pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi.

Moja ya sifa kubwa ya Mwanamke bora na mwerevu ni kusitiri maungo yake kwa mavazi nadhifu na yenye staha.

Mwanamke wa aina hii, hutafutwa na wanaume bora na werevu kwa dua na maombi.


Image may contain: 1 person, standing


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-hivi-unajua-mavazi-yako-ndiyo.html

No comments:

Post a Comment