Thursday, February 13, 2020

Mwanamke, Acha kuvua chupi kwa Mwanaume wa aina hii.

Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi,unampikia,unamfulia nguo,halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na kilio juu cha mahaba unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo hadi shetani anakaa kando kujifunza toka kwako halafu baada ya yote hayo unatoka umechoka mpaka nyonga zinakuuma,boyfriend wako anakusifia na kukuambia kwamba atakayekuoa atafaidi kweliπŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂😁hapo utaamini kweli uchawi upo na aliyewaroga wanaume alishakufaπŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂kitunze mwaya,kiendelee kuwa mnato,kinukie mpaka kwa majirani huko hakuna kumpa huduma za mke mwanaume ambaye hajakuoa,hakuna kumvulia chupi na kumchanulia miguu janaume gumegume ambalo halitaki kukupa na kukuvika taji LA thamani ya uanamke wako yaani ndoa.2020 ndoa bila kuvua chupi inawezekana.Uamuzi ni wako jiamini,jithamini na jifunze heshima yako baki ya utamu wako usitanue kizazi bure kwa mwanaume suruali
Image may contain: 2 people


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwanamke-acha-kuvua-chupi-kwa-mwanaume.html

No comments:

Post a Comment