Gharama ya kuanza upya mapenzi ni kubwa hivyo jifunze kuheshimu mahusiano na kumthamini mwenza wako. Kumbuka muda ni mali na ukishaondoka basi haurudi tena.
Kama leo hii umempata anayesababisha tabasamu lako basi hakikisha unajitoa kwake kwa kila hali ili asije kukuona wewe mzigo akakukimbia.
Ishini kwenye misingi sahihi ya mapenzi na hakikisheni kila siku mnapiga hatua ambazo zitafanya penzi lenu liwe na mwelekeo.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/gharama-ya-kuanza-upya-mapenzi-ni-kubwa.html
No comments:
Post a Comment