Monday, February 3, 2020

KWANINI MAPENZI HUPUNGUA BAADA YA NDOA, SABABU HII HAPA!

Mwanzo katika mahusiano ya ndoa,,wanandoa hupendana,,hupeana moyo,,husikikilizana,,husaidiana,,hujaliana,,,,zaidi ya yote kitandani wote wawili huwa wanajituma na kufurahia tendo la ndoa,,,kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,,unakuta inaibuka tabia ya kumzoea mwenza wako na kuwa mvivu,,,,.
Wakumpenda,,kumjali,,kumthamini,,kumhudumia hadi kufika steji tendo la ndoa linakuwa kwa nadra tena kuna muda raundi moja tu hoiiiii,,,,
Ndio inakuwa raundi sugu kwenye penzi lako,,,unakuta hata hiyo moja yenyewe ni sekunde kadhaa tu kama kuku hata la bata lina nafuu maana wanaandaana,,
Kisha usingizi mzito,,,
UVIVU WA KITANDANI KWA WANANDOA WOTE IMEKUWA CHANZO CHA USALITI KWA KIWANGO KIKUBWA,,,
Guys tukidhi haja za wenza wetu kuepuka kuwaacha na hamu ya tendo,,,hadi kufikia hatua ya kutafuta wa kumaliza haja zake kwa njia haramu....!!!
JE, WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO UNAOSABABISHWA NA WANAWAKE?
> Katika utafiti uliowahi kufanywa ulibaini kwamba tabia ya kujihatarisha na kukandamiza mihemko ya kihisia kwa vijana wa kiume, inahusiana moja kwa moja na vifo vya mapema vya wanaume ukilinganisha na wanawake
> Tabia hizo ni Ugumu katika kufunguka, Ugumu wa kusamehe, Msongo wa mawazo, kutokujali afya na Tabia hatarishi. Inadaiwa Wanaume wengi wana maradhi ya kihisia kuliko wanawake...!!!


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kwanini-mapenzi-hupungua-baada-ya-ndoa.html

No comments:

Post a Comment