Monday, February 3, 2020

Hakuna aliye busy kwa anayempenda ishu ni kipaumbele tu(priorty).

Image may contain: 2 people, people standingHakuna aliye busy kwa anayempenda ishu ni kipaumbele tu(priorty)..ina maana hali chakula, haogi , haendi toilet, kama vyote anafanya anashindwa kukupigia simu kukujulia hali!?anashindwa kukutext!!siku ya tatu hii hujaona call yake anakuambia niko busy!!maskini mtoto wawatu umeridhika kabisa na unaamani zote na unamuombea kabisaa!!hujui tu kuwa ndio unaachwa hivyoo!!ushageuzw akiba!!siku akikuhitaji ndio atarudi kwa mbwembwe zote!!ulivyo maskini wa fikra utarudi haraka haraka mutakutana guest ata sex na ww ataondoka!!..atakuambia tena niko busy sana na kazi ulivyona imani uchwara unakubali miezi inakata tu!!hujiulizi huyu mtu inamaana hali chakula wala haogi ule muda anaokula why hanitumii hata text hata kunicall, hujiulizi mbona ana view status zangu inamaana huo muda anatoa wapi wa ku view status!!!hujiulizi mbona simu yake ipo hewan inamaan anaongeaga na wakina nani!!?huna habari kabisaa!!!jiongeze ndugu yangu!!jua ww ni akiba!!na akiba haiozi!!ndio maana hakuambii tuachane!!unapoteza muda ndugu yangu!!!!na wale wanawake ambao wapenzi wenu kuanzia usiku mawasiliano yanaanza kuwa ya kushake shake.. Na muda mwingine anataka muchat tu!! Nawakumbusha tu muda date na waume wa watu bila kujijua!!kinga ni bora kuliko tiba#jiongeze

@kibonde


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/hakuna-aliye-busy-kwa-anayempenda-ishu.html

No comments:

Post a Comment