Tuesday, February 4, 2020

JE NI SAHIHI MWANAMKE KUPANDA MADHABAUNI AKIWA MJAMZITO?


Kwanza ifahamike kwamba;
•KUSHIRIKI KI MWILI KABLA YA NDOA NI UZINZI MAANA YAKE NI DHAMBI💯
Kumezuka kama FASHION kwamba ILI HARUSI IWE NZURI KWA MWANAMKE NI PALE ANAPOKUWA MJAMZITO 🤰🏻
Watoto wa mujini wanasema;
• USIUZIWE MBUZI KWENYE GUNIA😂😂
Kwenye macho ya walimwengu ni FURAHA SANA ila utajibu nini kwa MUNGU wako?
Migogoro mingi kwenye NDOA za sasa ni USALITI lakini chimbuko kuu la USALITI halijafahamika na hapo kuleta misuguano isokwisha huku wahusika wakisahau MAANA HALISI YA NDOA!
Mwanamke ilinde NDOA yako ya AHADI kwa kufuata MAANDIKO YA MUNGU wala usiwaangalie wana wa adamu ili kutengeneza siku yako ya HARUSI.
Harusi ni sherehe, Ndoa ni AGANO LA MUNGU je unaagana na MUNGU UKIWA MZINZI?
Unapanda madhabauni ukiwa MZINZI umempofusha SHEKHE AMA PADRI je MUNGU haoni tumbo lako?
Mnapoteseka na NDOA zenu msimtafute mchawi WACHAWI NI NINYI WENYEWE💯 maana unaandaa LAANA MWENYEWE kwa kumdanganya Mungu wako huku ukijua kabisa ni DHAMBI😭😭
#🔨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/je-ni-sahihi-mwanamke-kupanda.html

No comments:

Post a Comment