Tuesday, February 4, 2020

BINTI UKIONA DALILI HIZI KWA JAMAA YAKO JUA WEWE SIO WIFE MATERIAL KWAKE BALI ANAKUTUMIA KAMA MCHEPUKO TU


1. Mazungumzo mengi naye yanahusisha kufanya mapenzi tu
2. Hawezi kukualika kwenye mkusanyiko wa familia yake.
3. Hapendi surprises – hapendi uende kwake bila kumwambia
4. Ni mkali sana kwenye simu yake, hawezi kukuruhusu uishike
5. Ni mgumu kukuonesha mahaba ukiwa naye hadharani
6. Anahofia kupiga selfie na wewe
7. Anapigiwa simu za ajabu ajabu
8. Hakuiti wewe kama girlfriend wake. Akiwa na marafiki au
ndugu zake anakutambulisha kwa jina lako.
9. Haongelei kuhusu mipango yenu ya baadaye
Nakutakia siku Njema, Mungu Akubariki na kukulinda


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/binti-ukiona-dalili-hizi-kwa-jamaa-yako.html

No comments:

Post a Comment