Tuesday, February 4, 2020

MWENZA MWENYE NDOTO NA MALENGO NI HUYU...!


Daima kaa mbali sana na muogope mwanaume au mwanamke(Mpenzi)asiye na malengo au mdoto yoyote ya kujenga maishani mwake na wala hana hofu ya Mungu ndani yake.
Kuwa nae makini sana kwani anaweza kuangamiza na kupoteza malengo na kufifisha kabisa ndoto zako zote ulizoweka juu ya kujikwamua kimaisha,kimapenzi na hata kiroho.
Pia kumbuka kwamba mwanamke au mwanaume mwenye malengo na ndoto kubwa ni hazina kubwa kwenye moyo wa mwenzi wake endapo atainuka na kutafuta namna ya kutimiza ndoto na malengo hayo kwa vitendo,bidii na uaminifu mkubwa.....!!!


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mwenza-mwenye-ndoto-na-malengo-ni-huyu.html

No comments:

Post a Comment