πππππππππππππππ
Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.
Kuanzia miaka 18 hadi 24
Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa, gari, sharobalo na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu.
Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa, gari, sharobalo na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu.
Anabadilisha badilisha wanaume NA kuwasaliti wengine, hawana pesa, hadhi ya kuwa naye na haoni aibu kuwatemea mate. Hawezi kutembea na mbeba mizigo ataaibika.
Kuanzia miaka 25 hadi 30
Utasikia nataka mwanaume yeyote atakaye nipenda na kunijali, anajiegesha baa anakuwa bar made wa kuchukuliwa na yoyote tu ilimradi atapewa kidogo na kulishwa, kunywa bia anatumika na kuachwa asubuhi.
Bahati mbaya hajajitokeza wa kumuoa kwa sababu rika lake wameshaoa wote
Wanajitokeza tu waume wa WATU wanatembea naye tu na kumsaidia matumizi kidogo.

Kuanzia miaka 30 hadi 35
Utasikia mwanaume ni mwanaume tu ilimradi apatikane.
Utasikia mwanaume ni mwanaume tu ilimradi apatikane.
Bahati mbaya hata mlevi hajitokezi
Hapo anajikatia tamaa linakuja libaba lenye kitambi linazaa naye linampangishia chumba anaendelea kuishi.
Hapo anajikatia tamaa linakuja libaba lenye kitambi linazaa naye linampangishia chumba anaendelea kuishi.
Kuanzia miaka 35 hadi 40 hapo anahangaika hata mwanaume anayemtaka kuwa mchepuko hakuna analea watoto kwa shida na kodi ya chumba hamna ndo maisha tayari anasubiri afe.
SWALI LA KUJIULIZA JE HAWA WANAWAKE WOTE AMBAO HAWAJAOLEWA JE HAWAJAWAHI KUTONGOZWA ?
JIBU NI HAPANA
HUENDA WAMEKUJA WENGI ALIPOKUWA KWENYE WAKATI SAHIHI LAKINI KWA SABABU YA TAMAA ALIPISHANA NA GARI YA MSHAHARA
HUENDA WAMEKUJA WENGI ALIPOKUWA KWENYE WAKATI SAHIHI LAKINI KWA SABABU YA TAMAA ALIPISHANA NA GARI YA MSHAHARA
NA WEWE MDADA UNAYESOMA HAPA KAMA NAKUONA VILE
Fanyeni jambo hili wadada "acheni dharau, kujiona wazuri, malaika wa hapa duniani" kama wewe bado hujapata mme anza leo kuomba Mungu atakusaidia mapema zaidi, bado hujachelewa.
Usifikirie kujiuza, sawa utapata pesa tena nyingi kwa kutanulia kila jitu linalofika bei yako ya hapo chini lakini mwisho wa siku tarajia haya;
Ukimwi, cancer ya shingo ya kizazi, Kuharibu kizazi na usizae tena, Magonjwa ya zinaa hatari na yasiyosikia dawa yanabaki ndani ya mwili wako, maumivu ya tumbo mnajifanya kuita Mchango, kudharaulika kupita maelezo.
Mwisho kabisa ni kupata dhambi ya milele.
Hii ndiyo weekly vibe!
Kama tabia hizi zote au baadhi unazo, acha mara moja, maana mwisho wake ni majuto.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/mtanisamehe-maana-ukweli-unauma-ila.html
No comments:
Post a Comment