Sunday, February 9, 2020

MAISHA YA NDOA NDANI YA NYUMBA


ukihitaji mungu abariki maisha yako na nyumba yako kuna maneno ambayo utatumia
1 mme mpende mke wako
2 mke mpende mme wako
3 kuishi maisha ya kumpendeza mungu
4 kuwa na upendo pia na umoja ndani ya nyumba
5 mme kuwaheshimu wazazi wa mkeo
6 mke kuwapenda wazazi wa mmeo wala usiwazarau
7 kuwa na nia moja nyumbani mwenu
8 kuvumiliana katika magumu
9 mme mpende mkeo awe mzuri usimwache achakae kama kijakazi
10 mume na mke mpende maongezi mazuri tena matamu
11 mme anapoenda kazini akiludi mke mpe pole mme wangu


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/maisha-ya-ndoa-ndani-ya-nyumba.html

No comments:

Post a Comment