Thursday, February 6, 2020

KUHONGA SIO KUPENDWA KIJANA SHTUKA.


Kiukweli kuhonga hakuongezi kupendwa palipo na penzi la dhati.
Penzi la muda mfupi au la siku moja, kuhonga kunaweza kukusaidia, lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda ahitaji kuhongwa.
Hii sio kwa wanaume tu hata wanawake wanahonga.
Penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.
Usidanganywe wala kupoteza muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure na pesa zako kuliwa.
Mwishi wa siku unakuja kufa kwa presha wanaume shtukeni.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kuhonga-sio-kupendwa-kijana-shtuka.html

No comments:

Post a Comment