Saturday, February 8, 2020

Huwezi kujua mwanaume kama anakupenda au hakupendi kama hajapata pesa

, nikisema pesa simaanishi utajiri, hapana namaanisha uwezo wa mwanaume kujitegemea, kuwa na uhakika wa mlo wake mwenyewe asiwe anaishi kwao, kwa ndugu au mwanafunzi au usiwe unamlea wewe mwanamke.
Awe na uwezo wa kupanga hata chumba chake kimoja na kulipa kodi bila mashaka. Hapo hata akikutongoza tayari ashakua mwanaume, lakini ukimchukua mwanaume hana kazi, anaishi kwao, ni mwanafunzi wa chuo akakudanganya kuwa atakuoa, sijui beba mimba sijui na mengine mengi basi itakula kwako.
Najua unawaza wakwangu ni tofauti ila ndiyo ilivyo, anaweza kuwa aanakupenda sasa hivi kwakua hana pes alakinia kizipata pesa ikawatenganisha. Acheni kulea wanaume ili waje wawaoe, hakuna kitu kama hicho, kwamba eti utampa mtaji, utamhudumia, utamsomesha ilia je kauoe, wanaume hauko hivyo ukifanya hivyo itakula kwako.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/huwezi-kujua-mwanaume-kama-anakupenda.html

No comments:

Post a Comment