Wednesday, February 12, 2020

Hii Kwa wadada na wakaka wanaoimba kwaya makanisani.

Kuna wadada na wakaka wanaimba kwaya makanisani nakufanya huduma mbalimbali lakini ni wazinzi na kuna wamama wapo makanisan lakini ni wambeya na wasengenyaji wakubwa na kuna wababa wapo makanisani lakini roho za ulevi,uvutaji sigara na michepuko bado zina watesa lakini wapo makanisani sikiliza ni kwambie hatutaacha wala kuogopa kusema ukweli wokovu ni mabadiliko kama umeamuwa kuwa mkristo amuwa kweli usiokoke kanisani ukitoka kanisani wokovu unauwachia kanisani YESU ANAKUJA kulinyakuwa kanisa na watakao nyakuliwa ni wale ambao wamejikana na kuyaacha mambo ya dunia hii na kumfuwata YESU,
wadada ambao mnavaa mavazi ya aibu na kuingia nayo ibadani wacheni mara moja yawezekana wewe unaesoma hapa ni mmoja wao nakushauri badilika sasa kumbuka mbinguni watakaoingia ni watakatifu watu wenye mfano wa utauwa,watu wenye kumcha MUNGU,wazishikao na kuzifuwata sheria zake ni hao ndio watakao ingia,,,MUNGU AKUBARIKI WEWE ULIYE SOMA NAAMINI UTAJITATHMINI MWENYEWE KAMA MATENDO YAKO YANA MHUBIRI YESU AU YANA MRUDISHA MSALABANI


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/hii-kwa-wadada-na-wakaka-wanaoimba.html

No comments:

Post a Comment