Tuesday, February 11, 2020

FAHAMU_KUWA_MKEO_ANAWAVUTIA #WANAUME_WENZIO

✍️Awali nianze kwa kutoa #ELIMU_ELEKEZI #KWA_WANAWAKE:-
✍️Wanawake WALIO wengi wamejikita katika kumtamanisha Mwanaume na hapo ndipo ANGUKO LA UPENDO WA DHATI lilipopata upenyo, Kwa hakika MUNGU alivyo MUUMBA Mwanaume alimpa NGUVU YA KUTAMANI kuliko UPENDO na hapo ndipo Mwanamke itamgharimu kukwepa KUTAMANIWA.
✍️Upande wa pili wa SHILINGI:-
 MWANAUME ANAWEZA KUSABABISHA MWANAMKE KUTOJIAMINI HATA IKAMPELEKEA KUFIKIRI ANATAKIWA AFANANE NA WANAWAKE AINA YA MICHEPUKO YA MUMEWE
✍️Na hapo Mwanamke atatoka kwenye misingi ya NDOA na kupenda kuwavutia Wanaume wengine akiamini ni njia ya kupata anachokihitaji....
✍️Muda Mwingine ni tabia za Wanawake kuiga MAVAZI ya wengine huku wakisahau NGUO INASITIRI KUTOKANA NA MAUMBILE HUSIKA hivyo kuvaa kwa ajili yako ni ngumu
✍️KUTAMANISHA WENGINE ila ukivaa kwa kujilinganisha na mwingine lazima utakuwa kwenye KUTAMANISHA WENGINE
✍️Mwanaume fikiria zaidi UHURU WA MKE WAKO pamoja na kubaini UDHAIFU wake hapo itakusaidia kujua kama YUPO NJIA KUU ama tayari WABABE WANAKULA NAWE
Ndoa 🏠👈 na iheshimiwe na Watu wote 👉 na malazi yawe Safi 👂👈 Maana Waasherati na Wazinzi MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13: 4)


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/fahamukuwamkeoanawavutia-wanaumewenzio.html

No comments:

Post a Comment