
kuna wakati ukichambua upana na maana halisi ya mahangaiko ya MAHUSIANO/NDOA ndipo unabaini kwamba ni kama mchezo wa KUBAHATISHA na ukibet ukafauru SHIKAMANA๐ฉ
Na ili uwe kwenye usalama baada ya kubet ukafauru usitamani KUCHEZA TENA⛔
Na kama umecheza mara ya kwanza HUKUFAURU hesabu huna bahati, Maana unaweza kujaribisha kucheza tena ukajikuta unapata HASARA TU.
Kuna mambo mtu ukiona hayakupi FURAHA maana yake hayana ufauru kwa upande wako, Mapenzi yana nafasi kubwa kwenye MAISHA YA BIN ADAM kuliko hata KAZI kama huamini chunguza kwanini;
"KAZI MTU ANAFANYA KWA MUDA"
Lakini MAPENZI hayapangiwi MUDA Kwa sababu MAPENZI NI ZAO LA NAFSI yanawaka๐ฅ ama kuchanua๐น kwa wakati unaoamuliwa na NAFSI.
Hivyo ukijua kwamba NAFSI inamhitaji Mtu fulani wala Usijaribu kujiuliza mara mbili mbili JUST DO IT๐
Wengi wamejikuta njia panda wasijue MSAADA WA KUPONYA MIOYO YAO BAADA YA KUWAPOTEZA WALIO WAPENDA KWA NAFSI๐ญ๐ญ๐ญ
Mtu anakuwa na wa hitaji la NAFSI yake Lakini kwa madhaifu ama changamoto za ki bin adam Mtu anajikuta anamuacha aliyempenda kwa kiburi kwamba atampata Mwingine, MWINGINE utampata kweli kwa JINSIA na WAJIHI na hata ukitaka awe na muonekano kama ule wa aliyekuondoka inawezekana kabisa ila sio kwa UHALISIA⛔
Ndo maana nikasema MAPENZI ni kama mchezo wa KUBAHATISHA ikiwa utabahatisha MSHIKE HUYO๐
Ikiwa utakosa Basi usijaribishe KUPATA Kwani Kuna gharama sanaa kwenye KUBAHATISHA๐ญ๐ญ๐ญ
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mapenzi-ni-kama-mchezo-wa-kubahatisha.html
No comments:
Post a Comment