Thursday, March 26, 2020

MWANAMKE AKIPENDA ANAPENDA KWELI!


Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako,
Uvipendavyo na yeye atavipenda,
Utabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako.
Haitajalisha ni kiasi gani utamuudhi, Atakusamehe hata kabla hujamuomba msamaha, atachokifanya ni kusubiri tu umuombe msamaha kuthibitisha kama kweli umejutia kosa lako.
Atajaribu kuwa na wivu na atakulinda kwani atahitaji uwe wake, wake peke yake na sio ku share.
Atawakataa wengine wote wanaomtongoza kwa sababu ameamua kukubidhi kesho yake mikononi mwako.
Haitajalisha ni kiasi gani uko mbali na yeye, atajilinda na kujitunza kwa ajili yako.
Atakujibu kwa wakati text zako either watsapp, za kawaida au inbox ya fb.
Hatajali kama unampa pesa au laa, kama ni tajiri au laa kwa sababu lengo lake ni kujenga maisha na wewe na sio kupass time ameona potentials kwako.
Atakuonyesha marafiki zake na ndugu zake, kwa sababu anajivunia kuwa mpenzi wako.
Tafadhali sana, muangalie mwanamke huyo, moyo wake umejawa na mapenzi, anastahili kutunzwa na kupendwa kama almasi.
Lakin utakapoona vice verser kosa dogo tu linakuwa kes kubwa
Hana wivu na ww akuone uko na msichana hajali wala kukuuliza n nan huyo ni asiyeonyesha furaha pind unapokuwa nae au ukiwa umeenda kumtembelea,
Hajibu sms zako kwa wakati pengne hajibu kabsa hatak marafiki zake wajue kuwa upo nae hapend kuwajua rafiki zako hapend mtu yeyote ajue kuwa upo nae kimahusiano jua hilo bomu siku likikupasukia utalia kilio chako ambacho hakuna atakayejua kwann unalia na akijua kwanini hataamin ulisemalo so be care guyz and gals be open ๐Ÿ”“ if u don't love ๐Ÿ˜ sumone just tell them.. .... #MkakaFulani


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-akipenda-anapenda-kweli_26.html

No comments:

Post a Comment