Sunday, March 29, 2020

ULEVI WA MITANDAO YA KIJAMII NI HATARI KWENU. MLIOKO KWENYE MAHUSIANO NA WANA NDOA

Image may contain: 1 person, sitting, sleeping, bedroom and indoor
WANA MAHUSIANO NA WANA NDOA IWENI MAKINI NA ULEVI WA MITANDAO YA KIJAMII NI HATARI KWENU.

Leo nazungumza na wale ambao wamejikuta wanakuwa walevi wa MITANDAO YA KIJAMII kiasi kwamba hata AWAPO faraghani anawazia kuingia watsapp, Instagram, Facebook na kwingine alikojiunga, Hayo ni mambo ya NADHARIA hupashwi kuyapa kipaumbele kwenye maisha yako, Uliwahi jiuliza swali hili:-
 NI WAKATI GANI UTAJUA MWENZA WAKO ANAKUHITAJI KWA TENDO LA NDOA AMA HATA KULALA KITANDANI UMKUMBATIE TUUU🀷‍♂️
Ni FUMBO ambalo hata Mimi sijui lini nilijua hilo, Zipo nyakati muhimu sana kwenye USHINDI WA NAFSI pindi utakapokuwa free kufanya hitaji la MWENZA wako pasipo kukuambia, Hebu waza upo chumbani tena ukiwa mtupu vivyo hivyo na Mwenza wako yupo kama alivyozaliwa, Wewe upo busy na SMARTPHONE πŸ“± ukiperuzi DUNIANI huku mwenzio joto la mwili limempanda ila anataka aone JE UPO ENEO HILO KI AKILI ama upo upoooo tuπŸ€”
Halafu akabaini haupo nae ki akili, Pengine upo unasoma maandiko ya watu MITANDAONI nae akaamua kupotezea hali ilokuwa imempanda,
JE AKIKUSALITI UTAMLAUMU🀷‍♂️
Kuna wakati tambuwa Kwamba :-
 FARAGHANI HATA MTOTO HATAKIWI KUBISHA HODI kwa wakubwa wenzangu mtanielewa nikisema "MAMA ALIKUWA AKIKUITA AKAKUAGIZA MBALI UJUE MZEE ANATAKA HAKI YAKEπŸ‘™πŸ˜‚
Sasa inakuwaje upo FARAGHA tena upo mtupu ila tu upo busy na simu UNA AKILI KWELI πŸ˜‚πŸ˜‚
Waswahili walipata kunena:-
"WAJINGA NDO WALIWAO"
Sasa ukiona manyoya πŸ“ ujue AMELIWAAAAA πŸ—
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨



source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/ulevi-wa-mitandao-ya-kijamii-ni-hatari.html

No comments:

Post a Comment