kuharib mapenz
Nazan hapa tupo wakubwa tu
1. *JICHO.*
_*Regeza jicho wakati wa kumtazama mwanaume wako, sio unalikaza mpaka anaogopa.*_

_*Ikiwezekana kula kungu manga, Mwanamke ubunifu.*_
2. *PUA.*
_*Usiseme nina pua baya sijui nini, mwanamke ukiongea na mwanaume hata kama unapua kama nukta, shikashika uku ukijifanya kama unamafua.*_

3. *SIKIO.*
_*Hata kama una sikio kama ungo lipambe kwa hereni, sio lazima za kuning'inia km mmasai zipo ndogo, akija mume ataliona sikio dogo unakwama wapi mwanamke?*_

4. *NYWELE.*
_*Hakuna limbwata zuri kama nywele lakini mmh! Kuna baadhi ya watu nywele zimefungwa mabutu wala azijulikani rangi gani, wala mstari auonekani.*_

_*Wanume wengine wanapenda kuchezea nywele jamani, sio lazima uvae wigi, suka vizuri ata twende kilioni.*_
5. *MENO.*
_*Mume mpaka kula denda anaogopa kwa meno yalivyogandia vinyuzi vya spinachi na maharage.*_

_*Mswaki unauona kama gundi ya viatu, halafu unasumbua watu mume wangu wala hani kiss, mara naombeni jinsi ya kutengeneza limbwata wakati wewe mwenyewe limbwata ila ujui kujitumia.*_
6. *ULIMI.*
_*Mwanamke una kauli chafu kama choo cha stendi, mume anaona bora arudi nyumbani saa 5 au 6 kawahi saa 4.*_

_*Na bado atarudi mpaka asubuhi kama ujajielewa na kauli zako.*_
7. *SURA.*
_*Mwanamke poda, toka umepambwa siku ya harusi mpaka leo ata wanja huujui, utamsikia mimi poda inantoa vipele, wanja na lipstik jee zinakutoa vidonda na majipu.*_

8. *SHINGO.*
_*Jamani sio lazima cheni lifike tumboni vaa ata fupi jiongeze.*_

9. *MKONO.*
_*Utamsikia mwanamke anasema mimi sio muhindi nikitembea kama nimejifunga mabati, mwanamke vaa saa au nayo nzito km jiwe la fatuma? wengine alhamdulillah waume zao wanajitahidi kwa mapambo kuwanunulia, lkn wavaaji sasa kichefuchefu pooh!.*_

10. *VIDOLE.*
_*Usieneze pete midole yote vaa japo 1 ili mume naye akikushika mkono aone tofauti.*_

11. *KIUNO.*
_*Huwezi kuvaa shanga vaa cheni sio kiuno kiko plain kama

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamkee-tumia-viungo-vyako-kunogesha.html
No comments:
Post a Comment