Thursday, March 26, 2020

KUWA MAKINI NA NENO NAKUPENDA.


*Si kila akwambiaye anakupenda ukadhani anamaisha hata anayekutamani hawezi kukwambia anakutamani bali atakwambia Nakupenda*
*Kuwa makini Sana na neno hili kwani wengi hulitumia tu pasina kujua uzito wake*
*Wala nitakuoa lisikuchanganyishe ukakubali kuhadaiwa na kuharibu future yako ya maisha yako ila jifunze kutoka kwa wengine hata hao walio zalishwa majumbani walimbiwa nakupenda na nakuoa hatimaye wakadanganyika na maneno haya mawili na kupoteza Ramani ya maisha yao*
*Mwanaume ni kiumbe aliyejaliwa maneno matamu mithali ya asali na akishakipata kile anachokipagania hugeuka shubiri hata mimba kuikana haoni tabu Basi jifunze kwa wengine usisubiri likufike ndipo ujifunze kwani utakuwa ushachelewa*
*Akikuzungusha zungusha mara najipanga Mara vikaenda vikarudi piga chini huyo si muoaji anatafuta gia tu yakukupata waoaji wanajulikana na maplay Boy Wanatambulika*
*Nimejikuta nimendika tu so akili kichwani kwako aidha uyafanyie kazi au Uyapuuzi*
*Usipo yaelewa Duniani utayaelewa hata Kaburini*
I am Done!!
๐Ÿ’š@IBRAHIM


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kuwa-makini-na-neno-nakupenda.html

No comments:

Post a Comment