mke mtamu....
*HAKIKA YA MKE NI NYUMBA NA NYUMBA NI MKE....* ππ»
πππππ
♡ Mwanamke tulia nyumbani kwako jiandae kumsubiri mume wako ufurahie ndoa yako.
ππππππππππ
♡ Oga,jisafishe vizuri, ujifukize na ujipambe kwajili ya mumewako..
ππππππππππ
♡ Jipambe upendeze sio upake mirangi mpaka utishe badala ya kupendeza..
ππππππππππ
♡ Nguo zakuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaupunguza.
ππππππππππ
♡ Kidani shingoni herini skioni bangili mkononi pete vidoleni na shanga kiunoni.
ππππππππππ
♡ Kitandani pavutie chumbani panukie udi, asumini ,mawaridi na vilua.
ππππππππππ
♡ Kabla hajarudi anza kumchokoza mumeo kwa message za mapenzi ili asichelewe.
ππππππππππ
♡ Ukihisi hodi yake jiandae kumpokea kwa mabusu na jicho la mahaba.
ππππππππππ
♡ Muulize hali, mpe pole kwa uchovu bila kuchelewa mpeleke bafuni.
ππππππππππ
♡ Mahanjumati muandalie chakula umlishe huku kijidekesha kimahaba.
ππππππππππ
♡ Mapenzi kuashiria uko tayari kwa ajili ya kustarehe.
ππππππππππ
♡ Tendo la ndoa ni starehe kwa mume na mke hivyo kueni wabunifu mupate kufurahia tendo hilo.
ππππππππππ
♡ Itunze ndoa yako, mume ni zawadi, kutoka kwa mola wako.
ππππππππππ
*```✍πΏ JIPAMBE KWA AJILI YA MUMEO SIO WAJIPAMBA UKITOKA KWENDA KWENYE MIALIKO YA HARUSI NA SHEREHE ZINGINE, APANA USIWE IVO, WANAWAKE ZINGATIENI JAMBO ILI WENGI MWALIFANYA``*
``☞LAKINI BADILIKA SASA```
πππππππππ
♡ Ukipeleka Maji bafuni usiondoke msugue kwa mahaba uwenda kuchoka maji ayafiki mgongoni wewe ni kazi yako kuakikisha maji yamemfikia mwili mzima.
πππππππππ
♡ Kudeka kwa mumeo muhimu usipo deka kwa mumeo ukadeke kwa nani?
πππππππππ
♡ Tusichoke kuzidisha mahaba kwa waume zetu ili ata wakiwa kazini wawe wanakumbuka nyumbani
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kwako-mwanamke-uliyeko-kwenye-ndoa-njoo.html
No comments:
Post a Comment