Tuesday, March 31, 2020

MTOTO WA KIKE🌷 FANYA HIVI KUMZUZUA/KUMPAGAWISHA MUMEO

🌷TUNZA NDOA YAKO MTOTO WA KIKE🌷
πŸ‚KWANZA UNATAKIWA KUJITAMBUAπŸ‚
Mu gihe hari abamushinjaga kugira uruhare mu rupfu rwa Katauti ...

Hapo ndugu utaweza kuiendesha familia yako kama mwanamke wa ndoa ...nenda na wakati muda wa kupika pika chakula kiive ...tena kilike sio wewe muda wa kupika wewe unafua.. ...muda wa kucheza na mume wewe unalala khaaaa unajitambua kweli hapo .muda wa kuandaa chakula wewe unachat jaman muache hizi tabia.
πŸ‚USAFI PIA NI LIMBWATA πŸ‚
Mwanamke unatakiwa ujitume kuwa msafi hakuna mwanaume ambae anapenda uchafu japo baadhi yao ni wachafu..
Mwanamke nyumba nzima imezagaa mavyombo lakini hadi uambiwe mama fulani toa bac hii glass chin ya kochi
. .chumba unacholala na mumeo kinanuka uvundo wa manguo mabichi mlioogea yako chini unataka akutolee mumeo?.
Usafi mihimu mtoto wa kike,kua msafi upendeze.
πŸ‚MWANAMKE UNAKUA MVIVU WA KUFIKIRIAπŸ‚
Kuna wengine huwa hawana akili ya kujiongeza wanasubiri kuambiwa.....unakuta mume muda huo yupo series yeye analeta utani sas ndio kunakucha ... hapo mume lazima achukie ....
Mume anataka apikiwe pilau wewe unakwenda kumpikia mchuzi unajaza ndimu na chunvi,wewe hapo sasa si ndio unataka kuyaharibu mambo .....
πŸ‚MWANAMKE UKIKOSEA JARIBU KUOMBA MSAMAHAπŸ‚
Kuna wengine ndio kwanza anakua mkali na kumfokea mume wake ..sasa unategemea mwanaume wako ndio ajishushe.....
Akimpata mwanamke mpole mwenye kuomba msamaha wewe lazima utupwe chini kama dekio ...utabaki kulia na maumivu..tujitahid kuomba msamaha iwe tumekosea au tumekosewa ....

Nakutakieni utekelezaji mwema


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mtoto-wa-kike-fanya-hivi.html

No comments:

Post a Comment