Monday, March 30, 2020

MWANAMKEEE! UNATAKA KUMFURAHISHA MUMEO ASUBUHI.?...BASI MFANYIE MAMBO HAYA


regantemu79 – Page 112 – My Blog
ASUBUI YA FARAJA KWAAJILI YA MUME WAKO
πŸ’•mapambo baada ya kutoka kumaliza ada yako (siku zako za mwezi /hedhi )πŸ’•
πŸ’•πŸ’•Wakati Ikiwa umeshamaliza ada yako umekoga na umejitoharisha vizuri na umeanza ibada zako kama kawaida sasa unamtayarishia mumeo usiku wa faraja
πŸ’•πŸ’•Utafukiza udi Nguo zako za kulalia ambazo ni safi, usirudie Nguo ambazo umelalia jana ambapo jana ulikuepo ktk ada na hukua ktk tohara ,fukiza udi Nguo ambazo ni safi kama mumeo analala na bukta ifukize udi inukie
πŸ’•πŸ’•Au km Ulilala na 9tdres fukiza udi,,,,,, wako vizur au kama unalala na kanga chukua vipande viwili vifukize udi wako ,, Viwe sare moja yako utajifunga kifuani na moja ya mumeo utamfunga kiunoni km vile kikoi ziwe sare moja inapendeza zaidi sio papa na nguru
πŸ’•πŸ’•Na chumban kunukie udi, kitandani umwagie asumini na mawarid,,,,vilua n.k mpk kwenye mito uko kunukie
πŸ’•πŸ’•Nawewe mwenywe uwe unanukia kila kona kwenye mwili, sehemu zako za siri ziwe hot, uwe umezisafisha uzuri kwenye matiti munukie unajitia haliud mpk chini ya matiti na sehemu za makalio km kawaida utapaka mafuta yako jeli km vile babaycare au 444baby oil, na mengneyo ili mume wako akikushika kalio hilo Liwe linateleza na alione laini na Liwe na jotojoto sababu ya ile jeli oil na manukato kidogo basi murua unanukia uku mtoto ukiwa lain na huku kiuno kina shanga zenye mvuto Ikiwa ile nyekundu umeivua nadhan mnajua kazi na maana ya shanga nyekundu darsa lilishatolewa ,,,kwahyo hata mumeo akishika icho kiuno aoni shanga moja ataona zipo mbili au tatu kwahyo anajua hapa mambo ni safiiii
πŸ’•πŸ’•Sehemu za kitovu unatia haliud ,shingoni umo, makwapani, yana kila kona unaona hii inafaa kunukia basi unukie na uwe umepiga mswaki vizur mdomo unaleta harufu nzur hata mkiromance mdomo na mate kunakua na ladha nzur au km una miski original unaramba kidogo ili wakati unampa romance mumeo ahisi mate yako yanatoa harufu nzur na yana ujoto kwa mbaaali
πŸ’•πŸ’•Na vitambaa vyako Usisahau uwe umeviweka ndani ya foronya ya mito hapo kitanda kikiwa kimetandikwa na kutandikika kinavutia hapo mmeshalala unaanza kujishebedua kwa kitanda chako akikuangalia bwana akuone mpyaaa kama umezaliwa leo mtoto wakike unaitaa kila kona basi kitakachoendelea ni nyie wenyewe na raha zenu mana itakua amekumiss mke wake mmemisiana bas yanakua ni murua kabisa
πŸ’•πŸ’•Sio mtt wakike ueleweki kama umemaliza hedhi ama bado upo upo tu lazima ujiandae pindi unapomaliza ada yako ili mumeo akujue kwa ishara tu
πŸ’•Akina dada tuache misemo ya kipuuz kama shanga ni mambo ya vizee ,wahuni, waswahil,
,wahuni au ni ushamba jaman shanga ni kwa yoyote mwenye mume ktk ndoa yako shurti uwe na shanga bibie
πŸ’•πŸ’•Au kanga za kifua wakti wakulala usione ni mambo ya kishamba kanga ni vazi zuri linalotoa umbo vizur na lenye kumpa hamu ya haraka mwanaume kuliko hata hiyo 9tdress
πŸ’•πŸ’•Badilika mtoto wakike mshamba niww kuona kila kitu unaelezwa unaona ni ushamba mengne yanasaidia sio mtt wakike unalala na mumeo ucku unalala na pens inahuu kazi kumpa shida mumeo mpk akuvue lipens lako inahusu πŸ‘ŒπŸ‘Œ
*DumishaNdoaYako*


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamkeee-unataka-kumfurahisha-mumeo.html

No comments:

Post a Comment