๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
*๐นOmba Sana mungu akupe mwenza mwema mwenye kheri na wewe kwani sio kila mwanaume ana sifa yakuwa mume*๐น
*๐นChagua mume Kwa dini yake na tabia njema sio kwa uzuri au kwa pesa zake kwani pesa haziweze kufanya ukadumu Kwa ndoa*๐น
*๐นUsingie kwa ndoa sababu maisha ni magumu unataka mtu wakukusaidia maisha kwani sio kila mwanamume anajua niwajibu wake kumuhudumia mke*๐น
*๐นUsingie kwa ndoa kwa kuwa wewe ni mzuri kwani ndoa inataji subra na uvumilivu na wala sio sura wala ombo*๐น
*๐นUsipoteze muda wako na masharo baro ambao hawana jipya kwako zaidi yakuribia Future yako tafuta mtu mwenye kujitambua anayejua maana ya ndoa*๐น
*๐นMwanamume anayekupenda huja kwenu mbele ya wazee wako akakaposa wala usibabishwe na wanaume wa mitandao ambao hawawazi ndoa wanawaza zinaa tu jitambue kwani kupedwa sikuolewa hata tapeli atakwambia ywakupenda*๐น
*๐นUsijaribu kumbebea mwanaume mimba eti kwa sababu unaitaka ndoa , kumbuka ndoa haina fumular na kama mungu amepanga uolewe utaolewa tu ila kufanya hivyo mwanzo ni dhambi na unatia familia yako aibu*๐น
*๐นUsihuzunike kwanini wenzako wenye umri kama wako wameolewa na wewe bado kikubwa omba mungu kwani akisema liwe linakuwa tu Kwa uwezo wake๐น*
*๐นUsijaribu Kudanga na mume wa mtu ukaona unamkomoa mke wake, kumbuka kufanya hivyo unajikomoa mwenyewe muhimu mwambie kama anakupenda akuoe kama mke wake*๐น
*๐นKama upo nyumbani tu nausubiri ndoa hibu jaribu kufungua biashara yoyote hata kuuza mandazi hapo nje kuliko kusubiri kupiwa hela nawanaume kwani lazima utatumiwa hawaezi kukupatia bure*๐น
*๐นTahadhari na marafiki wabaya wenye mienendo ambayo inaweza pelekea kukuribia maisha yako kumbuka mtu huiga tabia za rafiki yake kuwa makini sana rafiki unayemchagua*๐น
*๐นUsichague sana mpaka ukajikuta unawacha vigezo muhimu alivyosema mtume kumbuka mume anachaguliwa na dini yake tu na tabia njema mingine ni ziada na usisahau umri unaenda mbele haurudi nyuma*๐น
*๐นWachana na hizi kauli eti huamini mwanamume yoyote labda babako mzazi , kumbuka wanaume wema wapo na kama ulitapelewa na mmoja wema wako kikubwa muweke mola mbele kwa kila kitu๐น*
*๐นMwisho kama una mchumba na muhaidiana ndoa mwambie afanye haraka kuikamilisha hiyo nusu ya dini na msipende kukaa faragha Sana Kwani mtume ywasema watatu wao ni shetani na mara nyingi comuniction baina yawachumba huwa hawafikii ndoa manake munasomana mpaka mmoja anauvunja uchumba kabla ya ndoa kutokamana na udhaifu aliyeuona*๐น
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
*๐นUKIYAPENDA YAFANYIE KAZI*๐น
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/nasaha-kwa-mabinti-walio-na-ndoto.html
No comments:
Post a Comment