*-----โข<ยฐโโ๐โโยฐ>โข-----*
๐Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondok
๐Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe
๐Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe
๐Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe.
๐Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu
๐Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono
๐Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea.
๐Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu.
*๐Ebu badilika๐*
๐Mume akiitaji chakula mtengee vizuri
๐Mpakulie mumeo ukiwa umetulia kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu
๐Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe
๐Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe ukiwa msafi na umependeza tu kiasi, chakula kiingie tumboni vizuri.
*๐Mume ana hadhi yake bhana๐*
๐Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni
๐usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu
๐Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga
๐jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako
*-----โข<ยฐโโ๐โโยฐ>โข-----*
*Ukiyapenda yafanyie kazi*
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kwenu-wadada-jitambue-sasa.html
No comments:
Post a Comment