Saturday, March 28, 2020

MWANAMKE ANAHITAJI KUFANYIWA HIVI MKIWA KITANDANI.

❤️Wanawake hupenda kuguswa mwili mzima linapokuja suala la kusisimuana kimapenzi.
Ni mara chache sana Wanaume hufahamu Mwanamke anahitaji nini linapokuja suala la mapenzi na hata kama anafahamu basi akiingia chumbani baada ya muda kidogo anasahau na kuendelea kufanya kile anataka yeye❤️
❤️Mwanamke anahitaji Mwanaume mwenye mikono taratibu wakati wa kusisimuliwa na kuandaliwa kuwa tayari kwa tendo la ndoa, hata hivyo Mwanaume akishakuwa amesisimka husahau na kuendelea kuwa na mikono haraka kukimbilia sehemu muhimu ambazo Mwanamke husisimka zaidi akidhani wote wanahitaji mwendokasi sawa❤️
Ni jukumu la Mwanaume kufahamu mahitaji ya Mwanamke wakiwa faragha hii ni kuhakikisha Mwanamke anaridhika kupata kile anastahili❤️
❤️Tendo la ndoa ni uzoefu wa tofauti kwa Mwanamke na Mwanaume pia, raha anayoipata Mwanaume hasa akishasisimka ni hitaji kubwa la kutaka kuingiza na kutoa, kama vile nguvu ya kutaka kutoa risasi kwenye bunduki.
Mwanamke yeye akishasisimka na kuwa mnyevunyevu ukeni huwa na hitaji kubwa la kupokea, yaani hitaji la kutaka kitu kuingia ndani yake❤️
❤️Kwa kuwa Mwanaume huwa na nguvu hasa ya kutaka kutoa shahawa ili kufika kileleni hivyo akishasisimka tu anatamani kuingiza na kutoa, wakati huohuo Mwanamke akishasisimka huwa anakuwa na hamu kubwa ya kupokea, kuingiziwa kitu na kujaziwa hadi aridhike, hivyo basi kama Mwanaume ana mwendokasi na kumaliza haraka , hitaji la mwanamke kutaka kujaziwa raha linaweza lisifike mahali panapotakiwa na matokeo yake hujisikia ametumiwa tu na Mwanaume kufanikisha raha yake ya kuingiza na kutoa shahawa ❤️
❤️Jambo la msingi ni kuhakikisha Mwanamke anaandaliwa na kupokea raha ya kutosha hata kabla Mwanaume haja mwaga shahawa na kumaliza raha yake❤️
❤️Mwanaume anahitaji kuwa mtundu kuhakikisha anaanza kwanza na Sehemu ambazo si zenye msisimko mkali moja baada ya nyingine huku akiwa na mikono ya taratibu ili kuhakikisha Mwanamke anapata raha ya mwili mzima kabla ya kupokea kitu❤️
❤️Kumbuka
Mwitikio wa kusisimuliwa kwa mapenzi kwa Mwanamke ni mzunguko unaohusisha saikolojia, mazingira na homoni pia anaweza kuathiriwa sana na hisia, mawazo, lugha, utamaduni na sababu za kibaolojia, hivyo kitu cha msingi ni kuhakikisha kabla ya kufika mbali ana hamu na anatamani tendo la ndoa.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-anahitaji-kufanyiwa-hivi-mkiwa.html

No comments:

Post a Comment