Wednesday, March 25, 2020

Si kila MWANAUME ni MUME

Si kila MWANAUME ni MUME wengine ni madume ya mbegu, hivyo ukifanikiwa kukutana na Mwanaume mwenye HURUMA juu yako huyo mshike.
Wanaume wa sasa ni MAKATIRI SANA, imagine shida yake ni SEX lakini njia anayoitumia kwako ni UPENDO
Chris JR.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/si-kila-mwanaume-ni-mume.html

No comments:

Post a Comment