ππ *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anayemsikiliza*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume mwenye utayari wa kubadilishana nae mawazo.*ππ

ππ *Furaha ya Mwanamke ni kupata Mwanaume ambaye watataniana naye*ππ
*Furaha ya Mwanamke ni kupata Mwanamume ambaye anamthamini na kumjali*ππ

ππ *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anayemfanya ajisikie yeye ni mwanamke wa pekee*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anaye msifia na kuunadi uzuri wake*ππ

ππ *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anaye mtosheleza na kumridhisha katika tendo la ndoa*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume ambaye wana nia moja ya kujenga familia*ππ

ππ *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume mkweli na muaminifu*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume mwenye kujishusha na kusamehe.*ππ

*ππFuraha ya mwanamke ni kupata mwanaume baba wa familia na mwenye msimamo thabiti katika maamuzi*
*kama yapo yoote hayaa baasi ndoa hiyo itakua na amani kama ya.........*ππ

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanaume-hivi-unajua-furaha-ya-mwanamke.html
No comments:
Post a Comment