Monday, March 30, 2020

KUNA UONGO CHEAP SANA WASICHANA


Wanadanganywaga na wao wanakubali utadhani akili zao wameshikiwa na muuza genge..
Mtu umemkuta ana demu wake,anakwambia Umpe Muda amuache ili awe na wewe...
Angekuwa anakupenda na hampendi yule si angemuacha siku hiyohiyo aliyokuahidi??
Kwani kumwambia ITS OVER mtu uliyemchoka inachukua hata sekunde 15??Mbona fasta tu tena kibuti kwa SMS...
Ila wewe unaambiwa umpe muda..anakaa zaidi ya miezi 6 ANAPROCESS KIBUTI na wewe unakubali..
Anaendelea kukupanda huku anaprocess..Miezi 6 unaacha mtu??Girlfriend tu huyo??UMELIWA MAMA!
Utashangaa after Miezi 6 kweli amemuacha yule demu ila ana CHUMA KIPYAAA
na
wewe bado umetulia kwenye position ambayo umeikalia kwa heshima zote..
SIDE CHICK...
Wewe ni kama Dereva tu wa CEO,hata CEO
akifa hutapanda Cheo kumrithi,utaendelea kumuendesha CEO atakayechaguliwa
Kama anakupenda kweli Amuache huyu wa sasa awe na wewe..
Ukiona bado anae ujue anampenda anataka tu akuchanue yaishe...Uongo mwingine mnadanganywaga kifala kweli hadi mnatia aibu... #MkakaFulani


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kuna-uongo-cheap-sana-wasichana.html

No comments:

Post a Comment