Wednesday, June 3, 2020

USHINDI WA MWANAMKE NI KUMVUTIA MWANAUME ALIYEMFAHAMU NA KUSHIRIKI NAE KWANI HUYO ATAKUWA NA WALAU ASILIMIA YA UPENDO KULIKO ANAYEKUONA KWA MARA YA KWANZAπŸ’―

utamuzaidiapp
Mwanaume yeyote anaweza kuvutiwa nawe hata ukajiona BABU KUBWA kumbe ni tamaa na imagination za maumbile yako na Moyoni wala hajakuwekaπŸ˜‚πŸ˜‚
Wanawake wengi mnaangamia kwa kujiona CAKE πŸ° kisa tu wanaume wengi wanaimba UPENDO dhidi yenu hilo ni PEPOπŸ’―
Kama kweli unao mvuto basi MVUTIE ALIYEKUFAHAMU KABLA na sio kujidai kisa kila unakopita wanakuangalia Muda mwingine umepauka wanakushangaaa😎 halafu usivyo mtambuzi unajiona CLEOPATRA🀳
Jiulize swali hili;
πŸ‘‰πŸΌ ULIWAHI KUONA WAPI CHIZI WAKIUME ANABAKWAπŸ˜‚
Sasa kinachokupa kiburi ni nini ikiwa hata Maria Yule anashinda jalalani anawavutia wanaume na pesa zao hata wakawazia watampata liniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanaume mpya asikutishe rafiki yangu, Tishika na Mwanaume aliyekukula πŸ‘™ na bado akikuona anaweweseka, Mwanaume ni kama CHIZI kila aonapo jalala jipya nywele zinamsimama anajikunaπŸ˜‡
Ndo maana kwa sasa wanaume imekuwa rahisi sana kuwapata kuliko zamani kwani mmeshindwa kuvumilia hali za hisia zenu hata mnajipitisha Pitisha mpate mwanaume wa kusema neno SHENZI KABISAAAA😭😭
Tulia na wako mmoja, Mbebee madhaifu na ujitahidi kuzilinda hasira zako ili UMTIII ndipo utaona ilivyo rahisi kumkamata Mwanaume wako kuliko kulingia wanaokuona kwa mara ya kwanza
Jiulize hajakukula ajue ukoje maneno kibao ila ukimpa tu niamini HUNA JIPYA NGW’ANA WANHEπŸ˜‚πŸ˜‚


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/ushindi-wa-mwanamke-ni-kumvutia.html

No comments:

Post a Comment