Thursday, June 11, 2020

USIJISHUSHE THAMANI KWA SABABU UMEZALISHWA AU ULIOLEWA UMEACHWA KWA SABABU ZISIZO NA MSINGI.

Usijishushe thamani kwa sababu umezalishwa au uliolewa umeachwa kwa sababu zisizo za msingi,binti umezalishwa mwanaume kakutelekeza.
Unayo thamani bado kila kitu cha wewe kuitwa mwanamke unacho,.
Mungu ni wa ajabu saana kama leo tungekuwa tunaachana na Viungo vyetu vya Uzazi Vinachakaa,au kupotea aiseeee kila mtu angeomba apotee na kupendwa tena kungeishaaa.
Ila cha kufurahisha anapokuacha au mnapoachana kila mmoja anaenda na utamu wake,atakaye kuja anamkuta mpya,kwa ndani na nje kitu kipyaaaaaaa,mtu mpyaaaaaaa.
WEWE NI DHAHABU,WEWE NI WA THAMANI SANA JITHAMINI.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/usijishushe-thamani-kwa-sababu.html

No comments:

Post a Comment