Saturday, June 13, 2020

RAHA YA KUOGA Mume na Mke KUOGA PAMOJA


πŸ’•Jamani, raha ya ndoa sio kugegedana na kupeana maromance tuuuuuu
πŸ’•Kuoga kwa pamoja pia ni raha sana jamani
πŸ’•Nendeni mkaoge kwa pamoja bana muepushe mambo mengine ya kutiana aibu kama kuchunguzana Messages kwenye simu pindi Mume /Mke wako ameenda kukoga
πŸ’•Ikiwezekana mbebe mwenzio kabisa hadi bafuni.
πŸ’•Mmh kazi kweli kweli
Ni raha kweli ila raha inanoga ikiwa sio kwenye nyumba ya kupanga kwa sababu hapo ndio kuna kuoga kwa nafasi.
πŸ’•Sasa huku uswahilini kuanza kubebana mpaka kufika uwani mmh. Na kile kitendo cha kuanza kuoga hata hamjamaliza kusuguana basi jirani ameshatenga ndoo nje anasubiri mtoke. Kiufupi hakuna raha , kwenye nyumba za kupanga Uswahilini
Imebidi ni cheke nimekumbukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo Kinondoni Kwa Manyanya , Kisa kimoja nilikishuhudia sitajakusahau . Mama mwenye nyumba alikuwa ana kerwa mno na mapenzi ya wapangaji wake , Siku moja ya Wapendanao , Walikuwa Wamebana wenyewe mara yule akasema Mteleze bure, mdondoke mmoja afe
Ubunifu usizidi maarifa , Vibamia vikiloana vinazidi kutisha ndoa zitavunjika bure
πŸ’•MmhπŸ‘ˆπŸ‘ˆAkaguna Mpangaji
πŸ’•Unaguna nini mdogo wangu. Hebu mbebe shemeji mkaoge. Nikawatia moyo Hahahaaaaa.
πŸ’•Mabafu enyewe ya uswahilini madogo
Mteleze bure, mdondoke mmoja afe
Ubunifu usizidi maarifa Haaaaaaa Haaaaaaa mamaeeeee. Mama mwenye nyumba kacheka
Kwa dharau . Akaendelea kusema Ni raha kweli ila raha inanoga ikiwa sio kwenye nyumba ya kupanga kwa sababu hapo ndio kuna kuoga kwa nafasi.
πŸ’•Sasa huku kwetu uswahilini kuanza kubebana mpaka kufika uwani mmh. Na kile kitendo cha kuanza kuoga hata hamjamaliza kusuguana basi jirani ameshatenga ndoo nje anasubiri mtoke. Kiufupi hakuna raha.
Kweli uswahilini ni shida sana ila wale waliofanikiwa kuwa na sehemu nzuri za kuisha ni kazi kwao sasa kutopitwa na hii raha.
πŸ’•Hapa ngoja nijikaushe kama jiwe. Niwe mtazamaji tu..πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€
Toa mchango wako tuweze kukuza ndoa zetu
Mi mlokole hayo hayanihusu
Huwezi kuoga na Mwanamke msikazane bafuni ,Raha ipo kwenye kugegedana tu hizo zingine ni mbwembwe tu
Kwani mlokole haoi au haolewi Au
Mlokole hahusiki kudumisha ndoa
πŸ’•Chamsingi tuelewe mabafuni na vyooni kwa Ualisia wa sabuni......nimaeneo hatari sana sio yakuchezea chezea.
πŸ”΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE πŸ™
NA MALAZI YAWE SAFI πŸ™
— feeling loved at Clapton, Hackney, London , UK.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/raha-ya-kuoga-mume-na-mke-kuoga-pamoja.html

No comments:

Post a Comment