Monday, June 15, 2020

🀱🏼 *SINGLE MOTHER unataman Ndoa?? Fanya hivi.

Sanchiworld - Follow me on INSTAGRAM @sanchiworld | Facebook
πŸ‘‰πŸ»Fanya haya Acha kuwasiliana mzazi mwenzako wala mazoea na ndugu au rafik zake wakat wa mimba kukataliwa. Lea hata kama hali ngumu ....
✋🏻Mpige marufuku kuja kwenu au kwako wala usiende kwake. Ni aibu kuendelea kushirik tendo na mwanaume aliye ikana mimba ila umejifungua anakuja kujifanya kumsalimia mtoto kisha anakutumia na maj kuoga una muwekea.. Hapo lazima udharaulike
🀦🏼‍♀Jiamin..acha kujirahisha kwa kila mwanaume kwa iman kuwa hakuna atae kuoa na mtoto uliye nae.... Bado we mrembo Dada kuzaa kumekuongea ukomavu wa akil .. Usijidharau kisaa umezalishwa
🚢🏼‍♀Kaa mbali na wanaume wapita njia... Single mother epuka mazoea yanayo chochoea mapenz na waume za watu au vijana wenyr uchu wa ngono wasio na mwelekeo kimaisha.. Yaaan kutwqa anawwza apate hela akanunue raba nzur..apate girl mzur alewe.
πŸ‘³πŸΌ‍♀Jiheshimu kuanzia uvaaji wako kaul na aina yq marafiki unao shinda nao.. Ipende kaz inayo kufanya ule na kuvaa vizur
πŸ‘©‍πŸ‘§‍πŸ‘¦Kuna SINGLE MOTHERS wanao jielewa na wana msimamo wao. Ukimpata huwez juta maana huwa mtulivu na aki ya maisha
πŸ‘«Kijana usiogope kuishi na single mother kama umemuona anakufaa. Kumbuka unapo mchukua kuishi nae huenda akabadilisha maisha yako.
🀱🏼Single mother tulia jitunze
Acha kujipendekeza kwa mzaz mwenzako ambae hana malengo nawe. Epuka kuzaa mtoto mwingine ukiwa nyumban kama bado una nia kuolewa.
🀦🏼‍♀Usiikate tamaa We ni mke na mama bora Subor utapata mwanaume atae futa historia yako mbaya Acha kujirahisha kwa waume za watu bado unayo nafas kupata wako.
πŸ€”Kumbuka Kuna wanawake walio zaa bila kuolewa ila wasafi wanajituza kuliko wanao jiita Mabinti huku mimba kibao wametoa
🎊 *Maisha na Mahusiano Chuo Cha Kurekebisha Tabia* πŸŽŠ


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/single-mother-unataman-ndoa-fanya-hivi.html

No comments:

Post a Comment