Thursday, June 11, 2020

MWANAMKE ACHA KABISA KUVUA CHUPI KWA MWANAUME WA AINA HII.

Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi,unampikia,unamfulia nguo,halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto.
Unajikunja mwenyewe kama kambale kwenye sex mtoto wa watu viuno feni na vilio juu vya mahaba ,unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo.
Yaani hadi shetani anakaa kando kujifunza toka kwako halafu baada ya yote hayo unatoka umechoka mpaka nyonga zinakuuma.
Boyfriend wako anakusifia na kukuambia kwamba atakayekuoa atafaidi kweliπŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂😁hapo utaamini kweli uchawi upo na aliyewaroga wanaume alishakufaπŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂πŸƒπŸΎ‍♂.
Kitunze mwaya,kiendelee kuwa mnato,kinukie mpaka kwa majirani huko hakuna kumpa huduma za mke mwanaume ambaye haonyeshi mwelekeo wa kukuoa.
Hakuna kumvulia chupi na kumchanulia miguu mithili ya fungu la kuni tulizokuwa tunaagizwa na walimu shuleni,janaume gumegume ambalo halitaki kukupa na kukuvika taji LA thamani ya uanamke wako yaani ndoa.
2020 ndoa bila kuvua chupi inawezekana.Uamuzi ni wako jiamini,jithamini na jifunze heshima yako baki na utamu wako usitanue kizazi bure kwa mwanaume suruali ukaja muona mume wa ndoa baadae kibamia kumbe wewe ndio uligeuza kijito cha utakaso wa neema kuwa BWAWA la kijiji kila mtu anavua samaki atakavyo...!!!!!
Share kwa wingi iwafikie walengwa....
Image may contain: 2 people, people sitting and outdoor


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/mwanamke-acha-kabisa-kuvua-chupi-kwa.html

No comments:

Post a Comment