Monday, June 15, 2020

*KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAZUNGUMZA NA MAMA ZANGU, DADA ZANGU Naomba zindukeni SINGLE MOTHERS*

✋🏻 *HABARI ZA ASUBUHI NDUGU ZANGU WA MAISHA NA MAHUSIANO*
🧾 *KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAZUNGUMZA NA MAMA ZANGU, DADA ZANGU Naomba zindukeni SINGLE MOTHERS*
πŸ‘¨‍πŸ‘¦‍πŸ‘¦Jana niliuliza Kwa nini Mwanamke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto iwe kawaida.. Lakin mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto iwe gumzo? Lakini wengi wanapuuzia maswali yangu coz hayana umuhimu
🀱🏼Mwanamke uliye zalishwa unaweza kufaa au kuto kufaa kuolewa kulingana na msimamo na akii yako Naamin kuwa mpo mulio beba mimba kwa kuwa muliahidiwa Ndoa baada ya mimba kutunga.
🀰🏼Wapo mulio beba mimba sababu ya uchanga na ugen ktk mapenz yaan umejitunza ila siku ya mwisho mwanaume wako wa kwanza ndiye akakupa mimba na kukuacha.
🀰🏼Mpo mulio pata mimba baada ya kubakwa Na wengine mulikosea kuhesabu tarehe ikaingia na hamkuwa tayar kutoa ..
🀰🏼Haijalishi ulipata mimba mazingira gan unatakiwa ubadilike na uwe na akil mpya
🀱🏼Kuwa na mtoto hakukunyimi nafas ya kuolewa unacho takiwa kujitambua tu.
🀦🏼‍♀ *Sasa leo nauliza tena then msijibu swali langu SINGLE MOTHER unataman Ndoa??*4
utamuzaidiapp


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/katika-somo-letu-la-leo-nitazungumza-na.html

No comments:

Post a Comment