Thursday, June 11, 2020

NAMNA YA KUMSAIDIA MWANAUME WAKO KUKUFIKISHA KILELENI!

utamuzaidiapp
Rafiki yangu mmoja anapenda kusema kuwa kabla ya kukubali kuolewa na mwanaume yeyote nilazima amtest kwanza. Lengo nikuhakikisha kuwa hauziwi mbuzi kwenye guni, kwa kuolewa na mtu ambaye hawezi mfikisha kileleni. Hii ni mada yenye ukakasi sana ingawa kwa muda mrefu nimekua nikiikwepa kuiandika lakini kutokana na maswali mengi ambayo nimekua nikiulizwa nimeona niiandike poteli ya mbali.
Kitakwimu inaaminika kuwa mwanamke mmoja kati ya watatu hawafiki kileleni wakati wa kufanya mapen-zi, wengine hata hawajui kama kilele ni nini. Lakini mbaya zaidi inaonekana kuwa asilimia 75 mpaka 80 ya wanawake hawafiki kileleni kwa kufanyya mapennzi kwa njia ya kawaida tu. Kwamba kama kusipokua na romance, mikono ikatumika vizuri na hata wakati mwingine ul-imi basi wanawake 7 kati ya kumi hawafiki kileleni.
Kwa wanaume kufika kilelelni ni jambo la kawaida wao huridhika mapema na mwanaume anaweza kufika hata mara kumi huku mwanamke asifike hata mara moja. Kwamba kama ni safari mwanaume anaweza kufika Dar wakati mwanamke hata kuvaa nguo ili akakate tiketi bado. Kwa bahati mbaya nikua wanaume wengi hawajui hili, kwamba yeye akishafunga goli tatu anajiona kidume kumbe hata hajamridhisha mwenza wake.
Kwa mwanamke ambaye hajafika mitaa ya kileleni hili si tatizo ila kama alishawahi kufika halafu anakutana na mwanaume ambaye hajui mitaa hiyo basi nirahisi kuchepuka kwani hayafurahii mapenzi. Kwa mwanaume mbinu hizi zitakusaidia kumfikisha mpenzi wako kileleni, lakini kwa mwanamke kujua mbinu hizi zitakusaidia kufika kileleni hata kama jamaa yako hajui kukukuna.
(1) Tengeneza Hisia Kwa Huyo Mwanaume: Tofauti na wanaume wanawake huendeshwa na his-ia, ili mwanaume akufikishe kile-leni nilazima kwanza ufurahie kufa-nya naye mapennzzi na huwezi kufurahia kama hakuna kitu ambacho kinakuvutia kwake, kama mwanamke nilazima kuilazimisha akili yako kumtamani na kumpenda mwanaume wako.
Kwa mwanaume ambaye unampenda unaweza hata kufika yaani ukaloana hata kabla ya kukugusa ila kama humpendi basi unajikuta hata akikushika unasikia kichefuchefu. Sasa mtu kama huyu hata akijitahidi vipi hutafika kokote. Hivyo hembu anza kumuangalia mumeo kwa jicho jingine.
Najua hayuko kama X wako, si mtraaamu hivyo, umekubali kuolewa pesa, si type yako kabisa. Lakini ndiyo mume yeye anafika usipojitahidi utaumia wewe. Angalia kitu kizuri katika mwili wake, hata kama ni macho, hata kama ni namna anavyokuongelesha, hata kama ni namna anvyokuhonga, kikuvutie na wakati wa kufanya lile tendo elekeza akili yako huko, hapo nirahisi kutengeneza msisimko kwani utajikuta unmpenda tu bila kupanga.
(2) Usimruhusu Kuanza Kulima Kabla Ya Kuliandaa Shamba; Kuna wanaume wakiingia shambani ni kuanza kulima tu, hawaliandai shamba wakang’olea majani na kuhakikisha shamba linakua vizuri. Asilimia 80 ya kilele kwa mwanamke haitokani na tendo la ndoa yaani ile kulima kwenywe, inatokana na maandalizi ya shamba. Hivyo kama mume wako akija ni kutaka kulima tu.
Kama hata hang’olei majani basi jua itakua ngumu kufika kileleni, atamaliza kulima wewe hata bado. Hivyo hembu tengeneza kautaratibu ka kumpokea, hata kama hataki romance wewe lazimishia, mfanyie wewe na mfundishe namna ya kukufanyia. Akuandae vizuri na kama ni mjanja unaweza kufika kileleni hata kabla ya kuanza kazi, kama ni shamba tunasema unaweza kuvuna hata kabla hajaotesha.
(3) Peleka Mikono Yake Sehemu Ambazo Zinakussissimua: Kila mwanamke katika mw-ili wake ana shemu ambazo akishikwa naachanganyikiwa, ndiyo zinaweza kuwa ni za siri au hata za kawiada, najua kuna zile nyeti kabisa kwa wale mnaokula maharage mtakua mshanielewa, hembu ipeleke mikono yako kule, huko huko kwanye maharage ndiyo hisia nyingi zilipo.
Hakikisha mikono yake inachezea shamba la maharage na kama hajui namna ya kulima shamba la maharage basi mpeleke taratibu. Lakini kila mwanamke kuna shemu nyingine za mizuka, mfano kuna ambao ni nywele, wengine masikio, wengine kifuani.
Kama mwanamke unajua sehemu zako, kama mumeo hajajua bado si mjanja kihivyo usisubiri miujiza itokee Malaika washuke na kumuambia shika nywele au kifua atachanganyikiwa. Hapana chukua mikono yake taratibu ipeleke huko na msaidia kuchezea sehemu hizo.
Hii mwanzoni unaweza usi enjoy kwakua ni r-aha kufanyiwa lakini hapa ni kama unamfundisha unamuambia kuwa huku ndiyo mambo ipo. Wakati anafanya hivyo basi piga kelele za mahhaba, hata kama ni za uongo lakini yeye ajue kuwa kumbe nikigusa huku mama anachanganyikiwa, leo umeipeleka mikono lakini akijua ataipeleka mwenyewe na utaona unafika bila kutazamia, mfundishe kijanja.
(4) Pelake Mikono Yako Sehemu Ambazo Zinakusisimua; Kuna baadhi ya wanaume hata si waelewa, wewe umejitahidi kupeleka mikono yake, kupiga kelele lakini kesho anarudia kulekule. Dada yangu ukisubiri akufikishe utachelewa, hembu tengeneza kamtindo wakati wa mechi basi unamsaidia kujigusa zile sehemu zako zile ambazo zinakuchanganya.
Hapa nikimaanisha kuwa wakati yeye analima wewe ng’olea majani, peleka mikono yako taratibu kwenye shamba la maharage, chezea huko ukichanganya na kazi yake, peleka mikono kule sehemu ambazo ukigusa unachanganyikiwa, gusa na piga kelele za kimahaba ajue kabisa unataka kushikwa huko lakini pia wewe usisimke kwa kukushika huko kwa kifupi msaidie kazi.
(5)Msiafie Kwa Mechi Ya Jana/Baada Ya Mechi: Wakati mwingine mwanaume hakufikishi kwakua hajiamini, anajiona si mjanja na kwako hatoshi. Hivyo mjengee kujiamini kwa kumsifia mara kwa mara, kuna sifa za baada ya mechi, katika kulima akachoka mshukuru na muambie namna ambavyo kakuchanganya. Hata kama hajakuchanganya sana chombeza kidogo kwafuraha.
Usizidishe chumvi sana ila sifia, lakini pia baada ya mechi hembu chukua vitu vilivyokuvutia, jana si ulipeleka mikono yake sehemu flani, sifia kile kitendo kwamba ulipoanza kulima maharage ninoma au muambie napenda unapofanya kitu flani, hata kama ulifanya wewe lakini mpe sifa yeye, moja kwa moja ataona kuwa kumbe mke wangu mizuka yake iko sehemu flani.
(6) Muambie Mambo Unayopenda Kufanyiwa; Ingawa sikushauri kabisa umumabie mumeo au mwanaume wako kua hakufikishi kileleni kwani utazidi kuliongeza tatizo. Utamfanya asijiamini na hata mwingine atakuogopa kabisa, mwingine atajifanya kuwa anakukaripia kukuita Malaya huridhiki. Lakini kama umejaribu kilakitu haelewi hembu muambie lakini muambie kijanja kwa kusifia matukio na kumuambia unapenda mambo flani.
Kwa mfano muambie mume wangu mimi napenda unavypofanya hivi, ukigusa sehemu flani yaani natamani usiachie, muambie napenda unavyo fanya hivi na vile. Hapo moja kwa moja umemuambia kuwa unataka afanye nini bila kusema hawezi. Lakini muambie mimi mizuka yangu iko sehemu flani yaani huko nataka ufanye hivi na vile. Ukimuambia kistaarabu ataelewa na atajifunza bila tatizo lolote.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/namna-ya-kumsaidia-mwanaume-wako.html

No comments:

Post a Comment