Wednesday, June 3, 2020

UZURI WAKO NI HUO WANAOKUTAZAMA NAO SIO ULE WANAOUTAFUTA UKIVUA NGUO MAANA YALIYOFICHWA NA NGUO SIO MUHIMUπŸ’―

UTAMUZAIDIAPP
Maana ya hakuna Mwanamke mbaya ni hiyo kwamba:-
πŸ‘‰ KILA MWANAMKE NI MZURI KWA HITAJI LA MWANAUME HUSIKAπŸ’―
Mwanamke kutoijua THAMANI yake ni kubakia Kwenye UTUMWA WA MAPENZI Maana atajikuta anamkubari Mwanaume yeyote kwa kuhofia kukosa walau MwanaumeπŸ˜‚πŸ˜‚
Lazima ujikubari na ujue jambo kuu moja:-
πŸ‘‰ MWANAMKE UMEBEBA HAZINA YA FURAHA YA MWANAUME.
Hupashwi kuwa mdhaifu eti kila Mwanaume akudandie halafu akishuka anakuachia jeraha na mwisho wa hayo ni wewe kubakia Kwenye VISASI KWA WANAUME WASOKUWA NA HATIA na kumbe mpumbavu mmoja alikuja kwako kutaka kuaangalia yaliyoko ndani ya nguoπŸ‘™na kwa kuwa hakuna jipya wala hakuondoka kwa wema ila alipuuza kwani HUNA JIPYA ZAIDI YA MWANAMKE MWINGINE ila vile unaaonekana na ukamvutia ndo UZURI WAKO.
BE YOU πŸ’ͺ
Acha kujirahisi, Wanaume huwa hawafurahishwi na NGONO 
Bali Mwanaume unaweza KUMFURAHISHA kwa UTII WAKOπŸ’―
Lakini nakupa angalizo:-
πŸ‘‰ SIO KILA MWANAUME ANAPASHWA KUPEWA UTII
WENGINE UKIMTII ANAKUDHARAU KWA SABABU UTII SIO HITAJI LAKE ILA ALIKUWA SAFARINI AKAKUPITIA NAWEπŸ˜‚
Jikubari na ujithamini ili kujipa UJASILI kupambana na wanaume wanaotaka kukula halafu wakuache Kwenye MAUMIVU.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/uzuri-wako-ni-huo-wanaokutazama-nao-sio.html

No comments:

Post a Comment