Kama unatarajia kuoa au kuolewa usifanye makosa. Vinginevyo ni bora ukaendelea ku-enjoy kua single.
Kama kuna kitu ambacho kinaweza kikakupa pressure, vidonda vya tumbo na ukafirisika kiuchumi na kiakili ama kufa mapema ni wrong marriage yaani ndoa isiyo sahihi.
Mhandisi yeyote yule atakwambia kwamba endapo vitu viwili vilivyoungana vikiwa katika mwendokasi wakati haviendani, uwezekano wa kitu kimoja au vyote kuvunjika ni mkubwa sana.
Ni vema zaidi ukaendelea kuwa single maana haijawahi kutokea mtu akaugua vidonda vya tumbo, pressure, kisukari kwa sababu yupo single... ila waliopo kwenye ndoa zisizo sahihi wanafahamu maumivu wanayougulia.
Kama hakuna upendo urafiki hautakuwepo, tendo la ndoa ni kubakana tu. Ni watoto ndio wanaowafanya waendelee na ndoa. Busara kubwa inahitajika katika kutafuta life partner.
Ungana nasi katika group letu la whatsApp "ITUNZE NDOA YAKO" ili upate njia bora za kutunza na kuimarisha Ndoa, Uchumba/Mahusiano yako. Ili kujiunga katika group letu, nitumie ujumbe wako kwenye whatsApp inbox yangu kwa nambari 0717 442 212.
Au bonyeza link hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye whatsApp inbox yangu
πππ
πππ
Share
Like Page
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/kama-unatarajia-kuoa-au-kuolewa.html
No comments:
Post a Comment