Sunday, June 14, 2020

πŸ’…πŸ’…UTAMU WA USIKUπŸ’…πŸ’… πŸ’…Jifunze kuongea na mumeo maneno matamu hasa usiku jamani,

πŸ’…πŸ’…UTAMUZAIDIAPP

UTAMU WA USIKUπŸ’…πŸ’…
πŸ’…Jifunze kuongea na mumeo maneno matamu hasa usiku jamani,
πŸ’…mume ndio swahiba wako ndio ujue mume anataka maliwazo yako uwe na sauti nzuri kuongea na mumeo zile sauti zetu usipayukee mbembelezee kwa mahaba asahau yote yamkerao huko apitapo
πŸ’…mume mtamuu ukiongea nae kwa ufasaha ndo wanasem mwanaume kama mtoto mlee mpende mdekezee ajisikie katoka kwa mama yake kaja kwako umfundishe mazuri mabaya asiyagusee
πŸ’… ukimnyima chakula atadoea kwa watu mwisho atakua mdokozi/atadokoa michepuko😍
πŸ’…basi ishi na mwanao/ mpenzi kwa raha sio kwa ajizi
Wala ushindani mwari na ajizi nyumba ya njaa,sasa ww zubaa tuu uone km hujaibiwa mumeπŸ’…πŸ’…πŸ’…πŸ’…πŸ’…πŸ’…πŸ’…πŸ’…


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/utamu-wa-usiku-jifunze-kuongea-na-mumeo.html

No comments:

Post a Comment