Tuesday, June 16, 2020

MWANAUME ANGEMPENDA MWANAMKE KWA MOYO πŸ’– WAKE WALA ASINGEACHA KURIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA β›”


Mwanaume ni sawa na mgonjwa wa kisukari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ni kweli AMEOAπŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨ ila kuacha kupata hamu kwa Mwanamke mzuri zaidi ya mkewe ni kama DHAMBIπŸ€¦β€β™‚οΈ
Ndo maana nikamlinganisha Mwanaume na mgonjwa wa kisukari, ni kweli ametakiwa kuacha vitu vitamu ila akiona FANTA anameza mate πŸ˜‹
Tatizo sio UZURI WA MWANAMKE β›” tatizo kubwa linawapata wanaume ni KUTOMKUBARI MWANAMKE ALIYE NAYE na kuamini katika FARASIπŸ¦„ UKIMPANDA HAKUTISHI MIONDOKO wakati huo huo MWANAMKE aliyemfanya amdharau aliye nae kuna Mwanaume kamkinai hapo ndipo utanielewa TATIZO LA WANAUME SIO UZURI WA MWANAMKE β›” tatizo lao kuu KIUπŸ˜‚πŸ˜‚
Muda wote wanatamani kuonja kila KISIMA bila hata kujua wataleta MADHARA gani kwa aliyepoπŸ€”
Visima vingine ukionja maji yake utahamia na hapo ndipo utanielewa kwamba KULIKO KUONJA ONJA CHIMBA KISIMA CHAKO MWENYEWE🀝
utamuzaidiapp


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/mwanaume-angempenda-mwanamke-kwa-moyo.html

No comments:

Post a Comment