Sunday, June 7, 2020

WANAWAKE SIKUIZI MNACHAGUA WANAUME MASHINE,PESA BADALA YA AKILI INAYOTHAMINI NA KUJALI?


utamuzaidiapp
Hivi Dada wewe pochi hadi utazame pesa,
Au wewe ni mahindi unataka kukobolewa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuachane na hayo.
Naomba mje niwanong'oneze kidogo 🗣👂
Hivi mnaangaliaga mwanaume mzuri au pesa na mashine?
👀 jamani sijamaanisha wa sura, hela nyingi,sixpack wala mwenye umbo la kuvutia kwa mtazamo wako.
Ninachomaanisha mwanaume mzuri ni yule anaye jua thamani ya mwanamke, kuijali na kuthamini ile thamani ya mwanamke kwa vitendo.
Ni yule atakaye kufanya ufanikiwe/usuccess katika maisha na ndoto zako zitimie hata kwa kiwango fulani na sio tu kitandani.
Ni yule atakaye kusaidia/ Kusupport mawazo,juhudi, kukufariji na sio lazima kwa pesa tu bali kwa upendo na ushauri.
Ni yule ambaye yuko makini sana kufanya ndoto zako ziwe kweli au halisi/ to make your dreams to be reality.
Na kukufanya ujihisi MREMBO muda wote na sio mpaka vipodozi/ make up Bali kwa ujali na upendo wake kwako.
Ni yule ambaye atakufanya ujivunie kuwa naye sio kwasababu ya uzuri wa pesa,sura au mashine yake bali kwasababu ni mtu pekee anaeithamini heshima yako na kuilinda kwa gharama yoyote.
Mara nyingi mnnalia sana wanawake katika mapenzi kwamba mnaumizwa bila kujua ni kwasababu mnashindwa kujua tatizo huwa ni nyie wenyewe pindi mnapochagua mpenzi,mchumba atakaekuwa mume wako.
Mnaacha kujiuliza maswali ya msingi kama vile;-
Mwanaume mzuri anasifa gani,akoje,nitampataje na kwa mbinu gani nitajua huyu ndie?
Badala yake mnakimbilia pesa na mashine zetu kubwa kubwa,ndogo ndogo,ndefu,fupi,nene nk.mnasahau tendo la ndoa kitandani hakuwezi kuwa tamu na kudumisha upendo,furaha,amani kama heshima na kuthaminiana hakupo!
Mapenzi haiwezi kuwa tamu kama mnaishi kwenye lindi zito la migogoro,kejeli,ukatili na dharau.
Chagua furaha na amani ya kudumu na sio rahaa ya muda mfupi na machozi ya milele.
Pesa na mali hupatikana mahali palipo na amani,upendo na utii.
Chaguzi au chaguo ni wewe/lako/The choose or choice is you/yours👉


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/wanawake-sikuizi-mnachagua-wanaume.html

No comments:

Post a Comment