Mwanaume yeyote anaweza kuvutiwa nawe hata ukajiona BABU KUBWA kumbe ni tamaa na imagination za maumbile yako na Moyoni wala hajakuwekaππ
Wanawake wengi mnaangamia kwa kujiona CAKE π° kisa tu wanaume wengi wanaimba UPENDO dhidi yenu hilo ni PEPOπ―
Kama kweli unao mvuto basi MVUTIE ALIYEKUFAHAMU KABLA na sio kujidai kisa kila unakopita wanakuangalia Muda mwingine umepauka wanakushangaaaπ halafu usivyo mtambuzi unajiona CLEOPATRAπ€³
Jiulize swali hili;
ππΌ ULIWAHI KUONA WAPI CHIZI WAKIUME ANABAKWAπ
Sasa kinachokupa kiburi ni nini ikiwa hata Maria Yule anashinda jalalani anawavutia wanaume na pesa zao hata wakawazia watampata liniπππ
Mwanaume mpya asikutishe rafiki yangu, Tishika na Mwanaume aliyekukula π na bado akikuona anaweweseka, Mwanaume ni kama CHIZI kila aonapo jalala jipya nywele zinamsimama anajikunaπ
Ndo maana kwa sasa wanaume imekuwa rahisi sana kuwapata kuliko zamani kwani mmeshindwa kuvumilia hali za hisia zenu hata mnajipitisha Pitisha mpate mwanaume wa kusema neno SHENZI KABISAAAAππ
Tulia na wako mmoja, Mbebee madhaifu na ujitahidi kuzilinda hasira zako ili UMTIII ndipo utaona ilivyo rahisi kumkamata Mwanaume wako kuliko kulingia wanaokuona kwa mara ya kwanza⛔
Jiulize hajakukula ajue ukoje maneno kibao ila ukimpa tu niamini HUNA JIPYA NGW’ANA WANHEππ

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/06/ushindi-wa-mwanamke-ni-kumvutia_4.html
No comments:
Post a Comment