Monday, March 16, 2020

USIJARIBU KUMDHARAU MTU AMBAYE UNAMPENDA🚫

Image may contain: one or more people and outdoor
kwa kufanya hivyo ni KUIWEKA REHANI NAFSI YAKO😎 njia kuu ya maudhi kwenye Mahusiano ni MARIDHIANO💏 kwani huwezi kumkataa mtu ambaye AMEUSHIKA MOYO WAKO.
Ni kweli kuna wakati inafika mtu unachoka kwa kungojea nafuu ya penzi wala usiione, Njia ambayo inaweza kuwa mbadala wa MATESO yako ni wewe kukubari kwamba UKO MAHALA SI SALAMA na baada ya hapo ji-cancel taratibu huku ukikwepa makutano ya mara kwa mara na hata ikiwezekana punguza mawasiliano,
Inaweza kuwa TIBA YA WEWE KUONDOKA KWAKE ila sio kuudhika leo na kusema SASA BASI yaani ni sawa na kumeza PILITON ili upate usingizi wakati tatizo lililokukosesha usingizi hujalitatua😅😅
Mpenzi anaunganisha AMANI kwenye maisha ya Mtu awaye yeyote, Huwezi kukwepa UTULIVU WA PENZI kwa Mtu ajuae thamani yako, Lakini ikiwa hujapata UTULIVU KWENYE PENZI LAKO ujue wazi UNATUMIKA KAMA KIBURUDISHO wala hakuna namna.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/usijaribu-kumdharau-mtu-ambaye-unampenda.html

No comments:

Post a Comment