Monday, March 16, 2020

UNAFIKIRI NI KWANINI MAPENZI YAMEKOSA MVUTO KWA WANAWAKE๐Ÿ™‡

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor
Ujana ni maji ya Moto kwamba wakati yakitokota ndo JOTO๐Ÿ’‰ linapanda, Wanawake wamekosa kujua maana ya MAPENZI kwa sababu wakati wa KUPEVUKA vijana wanajikuta tayari waliisha jiingiza kwenye NGONO ZEMBE.
Maana ya NGONO ZEMBE ni nini?
Mtu kujikuta amefanya au kuingia kwenye uhusiano ambao hakuupanga wala kuutarajia, Mwanamke anapokuwa ameanza kujua maana ya jinsia yake ndipo hupendelea kujipamba๐Ÿ’„๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ข๐Ÿ‘š๐Ÿ‘œ na mengineyo ambayo yatamsababisha kutazamwa na vijana, Na kwakuwa anakutana na MASHARO๐Ÿ’ƒ kwamba anavutiwa na umaridadi wa vijana hapo ndipo HUSHINDWA KUTOFAUTISHA MKWELI NA MUONGO NI YUPI... Kwa mapito ya upevukaji wa mtoto wakike kwamba kila aliyesema NAKUPENDA na hakumaanisha mpaka Mtoto wakike afikie miaka 30 atakuwa amejeruhika vya kutosha, Na hapo ndipo MWANA MKE hujikuta amekata tamaa ya kuwa na MWANA MUME ambaye anatokana na HISIA zake, Mwisho wake ni kujibebea Mwanaume yeyote, Wanawake wanaoishi na wanaume ambao sio wa HISIA zao ni wengi sana ndo maana sauti ya wanawake isemayo HAKUNA WAOAJI ILA KUNA WATUMIAJI WA WATOTO WA WENZAO kwa sasa ni kauli mbiu ya wanawake wote, Kwamba WANAUME hawajengi UPENDO WA DHATI KWA WENZA WAO badala yake wamekuwa watu wa kumtazama Mwanamke kama chombo tu, ndo maana neno USALITI limeshika kasi kuliko neno UAMINIFU kwa sababu Ule umri na uhitaji wa kuwa na mtoto ukiwadia na hajampata wa HISIA zake ndipo humkubari aliye mbele yake na ikitokea amepatikana akiwa tayari ana ndoa hapo ndo maana ya USALITI huchukuwa nafasi, Lakini akina Mama zetu nanyi mjichunguze KWANI KILA MWANAUME AKISEMA NAKUPENDA NI LAZIMA UVUE NGUO๐Ÿ‘™
Huna sababu ya kuuvua UTU wako kwa hamu ya mwili ama kutimiza jambo fulani, unaweza kuvumilia na wakati wa MUNGU ukiwadia UTANYONYESHA na hata MUME utampata aliye sahihi, kuliko kujibebea VIFURUSHI mwisho wake ni mbaya rafiki, Fanya kama una kiu ya BIA na umeokoka hilo ni PEPO TU๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kuna wakati jiepushe na kusikiliza wanaume itakuwa sababu ya wewe kujiepusha na USHAWISHI WAO mwisho wake ni wewe kujilinda.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/unafikiri-ni-kwanini-mapenzi-yamekosa.html

No comments:

Post a Comment