Saturday, March 14, 2020

MWANAMKE!! ILI UISHI MAISHA MEPESI NA YENYE UTULIVE HASA KWENYE MAHUSAINO AU NDOA FANYA HIVI.



Image result for mahusiano ya uchumba

OMBA MUNGU UPATE MUUJIZA WA MUME AMBAYE ATAKUPA AMANI kwa sababu ukipewa AMANI unaweza kutengeneza FURAHA INAYOTOKANA NA WEWE.
Najua Furaha ndo imekuwa ikitangulia kwenye MAHUSIANO MENGI ili kumvuta mtu, Mara nyingi naamini kwamba HAKUNA MTU AMBAYE HAPITII CHANGAMOTO ZA KI MAHUSIANO/NDOA ili japo mtu akuelewe haraka Matukio yaletayo FURAHA hayo ndo yanamvuta mtu kwa haraka, ila nataka nikupe ANGALIZO;
Ukipewa FURAHA ukanyimwa AMANI tafsiri yake ni ngumu sana wewe kuitengeneza AMANI YAKO MWENYEWE kwani kinachobeba taswira ya FURAHA NI AMANI.
Hakuna aliyefurahia jambo lolote kwa ukubwa au udogo wake, Hata kama lilileta FURAHA ambayo hakuitarajia ikiwa NDANI YA NAFSI HAKUNA AMANI jambo hilo ni kama UPEPO WA KIVULI🌳 kwamba ni kwa wakati tu utafurahi ila tatizo halisi litaendelea kukutafuna, Ndo maana nikuombe sana kuweka kipaumbele cha AMANI kabla ya FURAHA kuna wakati unaweza kujiwekea akiba ukapanga OUTING ukaenda ku have FUNπŸ’ƒ ila hata uwe tajiri kupita wote duniani huwezi kununua AMANI kwa sababu AMANI NI ROHOπŸ’˜ na FURAHA NI AKILIπŸ’† twende pamoja kwenye kupambanua hayo.
Kwa sasa kichocheo cha MAANGAMIZI YA AFYA NI MSONGO WA MAWAZO Mtu haugui kwa kukosa FURAHA lakini vifo vingi vinaambatana na UKOSEFU WA AMANI sio kwa MAPENZI TU hata kazi, Familia ikikosa AMANI rafiki yangu WAFA TARATIBU.
Dawa pekee ITAFUTE AMANI YAKO POPOTE ILIPO NA KWA GHARAMA YOYOTEπŸ’ͺ
Maisha yanafaa nini kwa kutazama VITU?
Jiulize maswali Haya;
Kama SAMANI zingekuwa zinaleta AMANI wenye uwezo wangehangaikia AMANI?
Kama SHAPE ingekuwa inaleta AMANI unadhani ZENA angekosa AMANI kisa ya BETINA?
Kama MALI ndo ingekuwa inaleta AMANI ni tajiri yupi angesumbuka na MAPENZI?
Majumba, Magari, Urembo, Utanashati na Mengine yanayofanana na hayo NI NADHARIA tu
Amani ni HAZINA YA MOYO kama huamini PATA VYOTE UKOSE AMANI kama utafurahiaπŸ˜‚
Ila kosa vyote ila uwe na AMANI uone ilivyo rahisi kufurahia, Kwa sababu moja tu;
MOYO KUTIMIZA HAJA YAKE😍
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria😎


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-ili-uishi-maisha-mepesi-na.html

No comments:

Post a Comment