Monday, March 16, 2020

UPWEKE WA MWANAMKE NI KABATI LA MATESO YAKE๐Ÿ™‡

Image may contain: 1 person, smiling, sitting and indoor
Tabasamu๐Ÿ˜† la Mwanamke ni ishara ya uchangamfu wa NAFSI yake, Uonapo Mwanamke akiwa MWINGI WA UPWEKE fikiria zaidi kumtoa huko kuliko kungojea aonyeshe haridhiki na mwenendo wa uhusiano wenu, Mwanamke awapo kwenye lindi la mawazo ujue kwamba ANATAFUTA NAMNA YA KUIKOMBOA NAFSI NAFSI YAKE ili ajitenge na yale ambayo anaamini hayako sawa, Inawezekana ni katika hali ya kujenga uvumilivu kwa anayoyapitia ama ni katika hali ya kutafuta mlango wa kutoka kwako, Ili uwe na hakika ya kwamba MKO SAFARI MOJA NA MWANAMKE WAKO yakubidi kuhakiki AMANI NA FURAHA ya mwenza wako, lakini ikiwa utamuacha apambane peke yake na makwazo pamoja na matendo mabovu ambayo anaumia nayo TARAJIA MAJIBU YASIYO FURAHISHA.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/upweke-wa-mwanamke-ni-kabati-la-mateso.html

No comments:

Post a Comment