Nijuavyo mie kila Mwanamke anayo maono juu ya MAISHA yake, Mwanamke alipewa kibali na MUNGU kunena, Na kuomba kwa ajili ya MUME NA FAMILIA YAKE๐
ANGALIZO:-
Kwenye Maombi yako usijaribu kumuombea MUME WA MWINGINE maana unaweza kuwa na Mwanaume ukadhani ni wa kwako, Na kumbe sio wa kwako huyo, Huyo yupo kwako ili kuvuka DARAJA na baadaye akifika ng'ambo akutane na MKE ALIYE ANDIKWA KWAKE๐ญ
Kaa kwenye MAOMBI muombe na Mwenza wako, Kama kweli ni wa kwako KUNA MAJIBU YA MAOMBI YENU
Lakini ikiwa hapatakuja majibu ya MAOMBI YENU basi ujue wazi AMA MWENZIO HANA IMANI au huyo hayupo kwenye MAONO YAKO ila ulimchukuwa ki NADHARIA kwa jinsia na mihemko ya hapa na pale
Usikatishe NDOTO pamoja na MAONO yako kwa sababu za ki mtazamo, Mwanamke ni MBEBA MAONO YA FAMILIA YAKE ndo maana waswahili walisema;
"HAKUNA MWANAUME AMEFANIKIWA BILA KUWA NYUMA KUNA MWANAMKE MAKINI"
Mwanamke anashinda nyumbani, wala hajui hata kupambana kutafuta hela ila MUME ANAFANIKIWA UNADHANI NI AKILI YA MWANAUME KWA MAFANIKO YAKE?
Jiulize swali dogo tu;
MAFANIKIO YANGEKUJA KWA NGUVU NA AKILI KUNA WATU WANGEKUWA MATAJIRI KAMA MAKONDA WA DALADALA?
Kwa sababu mahesabu wapigayo hao watu hata BILL GATE anasubiri, Kwa uhakika MAFANIKIO yanatokana na KARMA ZA ALLAH ndo maana waliowekeza kwa MUNGU hawadumai, Uwapo na MWANAMKE MWENYE MAONO Basi Mumewe ni mwenye MAFANIKIO๐ช
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mwanamke-inuka-kwa-maombidua-ili-kubeba.html
No comments:
Post a Comment