Monday, March 16, 2020

MAMBO MATANO AMBAYO YANAKUFANYA USIDANDIE PENZI LA MTU AMBAYE TAYARI YUKO NA MTU;

Image may contain: people sitting and outdoor

 Kukosa UHURU.
 Kutojua kama UNAPENDWA.
 Kushindwa KUFURAHIA uhusiano.
 Kutohisi UPENDO.
Kujawa UPWEKE.

Zaidi ya hayo ni pale unapokuwa umepata hamu ya kuwa nae na tayari yupo kwa MKE/MUME wake😭😭😭
Kwamba ukiingia uhusiano wa mtu ambaye tayari ana mtu huwezi kumpata kwa wakati, lakini pia ni ngumu kutochangia PENZI maana kwako anaiba,
KUBWA KULIKO;
Tayari anathibitisha kwamba ANALO PENDO LA DHATI KWA ALIYE NAE maana kusaliti ni kujazia yaliyopungua kwa mwenza wako, Kama ASINGEKUWA anampenda asingesaliti bali ANGEACHA ili awe huru, lakini kwa sababu anapenda ndo maana wewe unajaribu kumtengenezea MAHUSIANO/NDOA yake na wewe kubakia kuwa MTULIZA STRESS🙈
Mapenzi ya kuchangia yanawafaa WADOWEZI yaani watu ambao hawana malengo kwenye uhusiano ila kama unaijua THAMANI YA UTU WAKO tafuta wakwako, Raha ya MAPENZI UHURU lakini kama Uko kwenye MAPENZI YA SIRI WEWE NI MHANGA TU😭😭😭
Kataa kuwa MTULIZA DHORUBA KWENYE MAPENZI YA WATU maana wakiisha maliza tofauti zao UTALALA DORO zaidi ya hapo utabaki na MATUMAINI huku wenzako wakiwa KWENYE PENZI ZITO LA KUSAHIHISHANA💃
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria😎


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/mambo-matano-ambayo-yanakufanya.html

No comments:

Post a Comment