Thursday, March 19, 2020

Kila Mtu anahitaji kuwa zaidi ya mwingine,

Kila Mtu anahitaji kuwa zaidi ya mwingine, Lakini kwenye uhitaji huo wa kuzidiana tunatofauti kubwa namna ya kulichukulia jambo hilo, Wengi huchukia mwingine anapokuwa amevuta hatua moja mbele, Bila kujua kwamba MAFANIKIO YANALINDWA NA HATUA... Ikiwa wewe umekalia wivu wa Kwanini ANIZIDI😳
MwenZio halali akiwaza namna mpya ya kuendelea mbele, Hatua moja akisogea anapata shauku ya kusogea hatua nyingineπŸƒπŸ»‍♂
Ikiwa utakuwa mwaminifu kuchukua hatua kidogo kidogo siku baada ya nyingine, siku moja utatazama nyuma na ushangazwe jinsi ulivyopiga hatua nyingiπŸ’ƒ
Wacha wasemezane juu yako ili wewe UPATE BARAKAπŸ™
Maana ikiwa wewe NAFSI na MOYO wako huna CHUKI nao unadhani MUNGU ATAKUACHA KAMA WANAVYOKUWAZIA🀷🏽‍♂
Tarajia mshangao mkubwa juu yao wakati MUNGU atakuwa amefanya BARAKA JUU YAKOπŸ™‹πŸ»‍♂
#Elista_kasema_ila_sio_sheria.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kila-mtu-anahitaji-kuwa-zaidi-ya.html

No comments:

Post a Comment