Unajua watu wengi hawajui kwamba MAPENZI YANAJENGWA NA UHURU na badala yake wengi wamejikita kupeana ULODA wakiamini huo ndo UPENDOπ
Tofautisha kati ya;
▪UPENDO
▪TENDO LA NDOA
Upendo ni maana ya uhitaji wa NAFSI na Tendo la ndoa ni starehe ya mwili kama sio KIBURUDISHOπ
Ni bora ukatumia neno hili pindi uwapo na NDOA na unataka kuchepuka;
▪YA NDANI SIO TAMU NAENDA KUTAFUTA UTAMU NJEπ
Wala hakuna kinyume cha hilo pindi tu unapokuwa umechukuwa jukumu la kumsaliti mwenzio, Mtu akiishajua kwamba WEWE ni Mke ama Mume wa Mtu ni ngumu sana kukupa UPENDO WAKE WA DHATI ila anaweza kukupenda kwa sababu zake, Kwamba anapokuwa na wewe ATAKUTIMIZIA HAJA ZAKO ZA MWILI ili na wewe ukiishakuwa Mwepesi basi ingia mfukoni gharamia starehe aliyokupaπ
Ni ngumu sana Mtu kuchangia penzi halafu ajitoe kwako kwa UPENDO WA DHATI na kama unafikiria ni rahisi naomba nikukumbushe kwamba UPENDO NI UHURU na wewe unapatikana kwa kuiba, Mchana unaiba, ikitokea Usiku lazima uage umesafiri, Na nature ya MAPENZI kuna wakati uhitaji wa ki MWILI ukipandisha joto lake na wewe haupo eti uko wa MKEO ama MUMEO usitarajie kupendwa na Mtu huyo, Kuliko kujidanganya kwamba NJE UNAPENDWA basi wewe fikiria zaidi kwamba NJE UNATEGEMEWA KAMA MFUKO WA PENSIONπ¦
Mapenzi japo yaliyo na hakika ya KUPENDWA ni yale yanayowakutanisha wapenzi pindi wanapohitajiana, Lakini wewe hupati radha ndani halafu kwa UBINAFSI wako unakwenda kuutafuta utamu nje na unajulikana UMEOA AMA KUOLEWA kwa hakika WALLET IWE LOADEDπ°
Kama huna pochiπ± kumbe NANI MJINGA AJITUME BURE ili wewe umalize hamu zako ukifika ndani unajishaua kama vile hujuagi UNA MKE AMA MUMEπ π
Rafiki hapendwi MTU ALIYE NA NDOA YAKE inapendwa POCHI
Jiandae kisaikolojia wala usisumbuke wewe weka Mzigo mezani UTAPATA HAKI YAKO uondoke mwepesi.
Ndoa ikikosa UIMARA KWENYE TENDO LA NDOA ipo hatarini kufa, Kama wapenda JUDO Mwambie mwenzio unapenda JUDO
Sasa wewe unapenda JUDO na Mwenzio hajui JUDO ila anajua KARATEπ
Hapo ni maongezi na kusahihishana tu Kwani MAPENZI UBUNIFU NA KUJITUMAπͺ
Akishindwa hivyo NIKUTAKIE TAFAKARI NJEMAπππ
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/03/kama-wewe-ni-mke-wa-mtu-ama-mume-wa-mtu.html
No comments:
Post a Comment